Wachezaji wa Liverpool wameungana na familia na marafiki katika mazishi ya mchezaji Diogo Jota na kaka yake André Silva, siku mbili baada ya kaka hao kufariki katika ajali ya barabarani nchini Uhispania
Ibada ya mazishi ilifanyika katika kanisa la Igreja Matriz katika mji wa Gondomar, Ureno, ambako Jota alikuwa na makazi
Kocha wa timu ya taifa ya Ureno, Roberto Martínez, pamoja na wachezaji kadhaa maarufu wa Ureno walihudhuria, wakiwemo Bernardo Silva, Rúben Dias wa Manchester City na Bruno Fernandes wa Manchester United
Wazazi wa marehemu walihudhuria ibada hiyo katika Kanisa la São Cosme, karibu na Porto, pamoja na Rais wa Ureno Marcelo Rebelo de Sousa, Waziri Mkuu Luís Montenegro na wakala wa Jota
Jota, mwenye umri wa miaka 28, na mdogo wake André Silva, 25, walikutwa wamefariki karibu na mji wa Zamora, kaskazini-magharibi mwa Uhispania, mapema Alhamisi baada ya gari lao aina ya Lamborghini kupata ajali na kuwaka moto usiku wa manane
Soma pia: Mshambuliaji wa Liverpool Diogo Jota, afariki dunia katika ajali ya gari