Nunua huawei y300 bland new tigo shop, tsh 195000, au popote dukani haizidi 220000. Ni smartphone cheap lakini inaoffer karibu kila kitu ambacho ungepata kutoka ktk smartphone za gharama kubwa. Usipende kununua vitu vya gharama kwa bei ndogo mikononi mwa watu unless unauhakika. Cheap is expensive.