SIM CARD za iphone

Decapitator

JF-Expert Member
Nov 26, 2010
311
79
Wadau kwa mtu yeyote ambaye anatumia iphone naomba anijuze kama tanzania kuna line ndogo za iphone, kwa sababu ambazo naona zote ni kubwa.
Je ukinunua iphone na line ndogo hizi unafanyaje?
Kwa huku niliko nimeambiwa zinakatwa.
je huduma hiyo ipo TZ?
 
Inaweza kukatwa hata na mkasi wa kawaida, tafuta instructions online.
 
Wadau kwa mtu yeyote ambaye anatumia iphone naomba anijuze kama tanzania kuna line ndogo za iphone, kwa sababu ambazo naona zote ni kubwa.
Je ukinunua iphone na line ndogo hizi unafanyaje?
Kwa huku niliko nimeambiwa zinakatwa.
je huduma hiyo ipo TZ?
Tanzania MicroSim za iPhone zipo tiGo, vodacom na Airtel , pia huduma ya kukata line iwe ndogo ipo hapa dar nimeona katika pitapita zangu
 
kama una line ya zamani pita kwa mafundi simu wakubwa wanaikata kwa mikoani ni elfu 5.Check kwanza na bei ya microsim
 
kama una line ya zamani pita kwa mafundi simu wakubwa wanaikata kwa mikoani ni elfu 5.Check kwanza na bei ya microsim

mi nilikata kwa buku mbili....

attachment.php
 
Attachments

  • sim-cutter.jpg
    sim-cutter.jpg
    12.9 KB · Views: 138
Back
Top Bottom