SIM Card Ya Smart Haisomi Kwenye TECNO!!!!

chopeko

JF-Expert Member
Joined
Apr 23, 2012
Posts
1,527
Reaction score
1,113
Wakuu,
Nimenunua sim card ya smart (mtandao mpya) ili nifaidi bundles zao ila cha kushangaza inasoma kwenye simu zote kasoro TECNO.
Nimmejaribu kuwacheck ila hawana majibu yanayoeleweka kila mtu ana jibu tofauti.
Niko mwanza, mwenye ujuzi anisaidie!!!
 
Bradha sio simu za tecno tu hata baadhi ya modem haswa zile za HSDPA!
 
Heeee hata mimi nina modem ya hsdpa ni shida yaani.
Aiseee atakaye pata solution atujurishe jamani....

Fanya mpango wa kupata modem ya HSUPA kama Huawei E303!
Modem hizi zinapatikana Vodashop na Tigo!! Ila za Voda ni Hilink ngum kidogo kuzichezea!!
 
Mbona kwangu inafanya kazi?
 
Fanya mpango wa kupata modem ya HSUPA kama Huawei E303!
Modem hizi zinapatikana Vodashop na Tigo!! Ila za Voda ni Hilink ngum kidogo kuzichezea!!

hsupa, hsdpa, hspa ni kitu kimoja. hiyo u iliongezeka kwenye hsupa inamaanisha upload, na d iliongezeka kwenye hsdpa inamaanisha downloading.

hspa ni technology
hspa ikidownload ndio hsdpa
hspa iki upload ndio hsupa
 
Mbona kwangu inafanya kazi?

ni hypothesis tu nimetengeneza sina uhakika kama ni kweli, hawa smart hawatumii frequency ya 2100 ambayo ndio common kwa simu zote ndio maana kwenye tecno na simu za kichina haipo, ila kuna tecno mpya naona zina frequency zaidi ya 2100, je wewe unatumia simu gan?
 

Techno s3
 
Niko dar.. Naenioy calls za bre smart to smart
Ila kwenye net wametia boko

Freelancer wao aliniambia eti mwanza bado hawajaruhusu tecno.nilishangaa kweli
 
Freelancer wao aliniambia eti mwanza bado hawajaruhusu tecno.nilishangaa kweli

Nao hawajui.. We waulize unaangalia vipi salio la kifurushi uone anavyo ambaa
 
Samahani kidogo mkuu...hivi hizo frequency unazitambuaje na inatofautisha vipi kimtandao katika spidi ya internet...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…