Tablet gani na inarun OS ipi? Inawezekana atainunua Urusi lakini si made in Russia ikawa ni hizi iPad au Galaxy tulizozizoea huku
Mkuu ni kweli inatumia sim ndogo lakini hiyo siyo tatizo hata kidogo, km hutaki kukata nenda kwa agent akupatie sim ndogo. Ila kitu unachotakiwa kujua ni km ipo unlocked au la.Hapo kwenye red sijakuelewa!
Itakuwa ni Samsung Galaxy 2 yenye OS Android 4.1 kama kawaida, wasiwasi wangu ni SIM Card, nadhani inatumia zile card ndogo za kukatia. Hizi SIM card zina specs za kuzingatia? niliwahi kununua simu UK nikaja nayo Bongo ikashindikana kuitumia kwenye mtandao pekee wa GSM uliokuwepo, TRITEL kwa sababu ya SIM card compatibility.