habari, ni matumaini yangu kuwa kila mmoja yu mzima, kwa wenye matatizo ya hapa na pale poleni sana. ninaomba msaada jinsi ya kurudufu "laini " ya simu SIM CARD CLONING ! ni kwa matumizi yangu binafsi kwani nina simu mbili na nahitaji kila mmoja ibaki na namba yake lakini niweze kupata taarifa au kutumia simu yoyte ile. kwa mfano nikipigiwa katika simu A niweze kupokea kupitia simu B au hata nikipokea katika simu moja wapo taarifa ionekane katika simu mojawapo. nimejaribu kupakua software lakini bado sijafanikiwa . ikiwa kuna mtu anaweza kufanya hivyo tuwasiliane lakini ni vyema nikaelekezwa ilinifanye binafsi. asanteni kwa msaada
it smell lyk unataka kumtegeshea mtu
Kwanza kuclone modern GSM SIM card ni kitu kigumu sana kukifanya pili hata ukifanyikiwa kuiclone hiyo SIM card haina maana kuwa utaweza kutumia simu mbili kwa wakati mmoja, only simu moja itaweza kuwa hewani at one time.
Pia provider wako akiona SIM card moja imeunga mara mbili kwenye network sana sana ataifungia SIM card yako.
Lakini wanasema aina ya SIM card ambazo waweza ku-clone ni aina ya COMP128v1, ambazo kwa kiasi kikubwa ni hizo zinazotumika. Ingawa cloning SIM card ni illegal attempt. Sina hakika kama kwako ni for good or bad!
Soma hapo chini yaweza kukusaidia.
1. Buy a Sim card Reader
2.Need a Blank sim card or super sim card
3.Download Magicsim at http://www.magicsim.com/en/multi-sim.asp? new_id=6
4. Download http://www.filecart.com/Windows/System-Utilities/Backup-Restore/USB-SIM-Card-Reader- Software_1711_1.html
5. Install programs.
6. go in phone tools, select sim card, then select unlock sim, it will promt for a code.
7 call network provider, they will ask for your phone number, your account info, name and security code,
then they will ask why you want to unlock your simcard, just tell them you need to unlock your sim to get it
to work with your overseas phone or something.
8. Once they give you the sim unlock code, enter it, and it will say sim unlocked.
9. remove the sim from your phone, place it in the cardreader, click read from card in magic sim program.
10. once it says connected, select crack sim in the toolbar. click strong ki and clink all of the other find options and then click start.
11. Once your ki is found and the crack is finished, click file, save as and save your cracked sim info to a that file.
12. IMPORTANT!!! you must click disconnect from the file menu or you will ruin your simcard. once it says
disconnected, remove the sim. put it in your phone and see if it still works, it should. if not, you either did not unlock your sim, or you tried to copy it instead of crack and save.
13. insert black 3g card Use other program, not magic sim at this point.
14. click connect
15. it will say no info found if it is truly blank.
16. select write to sim, it will promt you to select a dat file, select the one you saved before, now click start, it will take about 10 minutes to write it, once it is complete, it will ask for a security code, enter the security code network provider gave you, then click finish.
17. your card is cloned. if you try to make 2 calls at the same time, one will go through, the other will say call failed, and both phones will get the same messages, text and voice, and both will recieve the same calls, but only one can talk at a time.
not really i got two phones and i want to use them at once. that's maximum utility of the technology brother
thanks but this link http://www.magicsim.com/en/multi-sim.asp? new_id=6 doesn't work , can you give me another link
ni kitu kigumu sana! hivi kuna sababu ya kufanya yote hayo kwa maisha ya kawaida au hata hayo ya technology?!? kuna benefits zipi kimatumizi ya hizo simu na hizo line kama nikifanikiwa ku'clone!? nielimishe kidogo mkuu nmekua interested kidogo kutaka kujua baada ya kuufuatilia huu uzi kidogo
Hakuna kitu kama hiki, hauwezi ukawa na simu mbili zenye namba moja both zikawa hewani at the same time.both phones will get the same messages, text and voice, and both will recieve the same calls, but only one can talk at a time. this is what i want , there is other way than cloning that can work?!?!
Hakuna kitu kama hiki, hauwezi ukawa na simu mbili zenye namba moja both zikawa hewani at the same time.
Hakuna kitu kama hiki, hauwezi ukawa na simu mbili zenye namba moja both zikawa hewani at the same time.
habari, ni matumaini yangu kuwa kila mmoja yu mzima, kwa wenye matatizo ya hapa na pale poleni sana. ninaomba msaada jinsi ya kurudufu "laini " ya simu SIM CARD CLONING ! ni kwa matumizi yangu binafsi kwani nina simu mbili na nahitaji kila mmoja ibaki na namba yake lakini niweze kupata taarifa au kutumia simu yoyte ile. kwa mfano nikipigiwa katika simu A niweze kupokea kupitia simu B au hata nikipokea katika simu moja wapo taarifa ionekane katika simu mojawapo. nimejaribu kupakua software lakini bado sijafanikiwa . ikiwa kuna mtu anaweza kufanya hivyo tuwasiliane lakini ni vyema nikaelekezwa ilinifanye binafsi. asanteni kwa msaada
MTU kashakwambia inawezekana na process kakuwekea ww unakomalia haiwezekani