Silversands hotel kulikoni??

Mwalimu

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2008
Posts
1,600
Reaction score
1,089
Wikiendi hii nilikwenda Silversands Hotel na hali niliyoikuta huko inasikitisha sana. Majengo yamechakaa mno na sikuona dalili za kuwa kuna wageni wanaolala pale, sehemu inayofanya kazi ni bar moja tu ambayo imekaa kichovu mno. Inasikitisha kuwa eneo zuri kama hili limeachwa linaoza na hakuna kinachofanyika kupaendeleza.

Hivi USDM ndio wameshindwa kabisa kuiendesha hoteli hii? Wana wataalamu wengi wa masuala ya biashara ambao wangeweza kuandika business plan iliyotulia na kuipeleka benki kwa ajili ya mkopo then waingie ubia na wajuzi wa biashara ya hoteli...
 
Mwisho wa wizo/ubaya ni aibu!
 
Au mpaka aje mhindi/muarabu anunue kwa bei ya kutupa then aweke hoteli ya maana? Sisi wenyewe hatuwezi?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…