Nabii wa kanisa hilo ELIYA ndo amefariki
wandugu nimepata taarifa kuwa ---- mambo mazito yanaendelea kuanzia jana hadi leo kanisani hapo mbezi Beach Makonde..Mwenye habari zaidi atujuze au kama kuna mtu anasali hapo atuambie tafadhali

Hebu jaribu kufafanua kidogo mambo gani hayo kapuchi?
Nimesikia kuna mtu amekufa toka jana asubuhi wanamwombea afufuke hadi saa hii...sasa sijui ameshafufuka ndo nilipenda nijue
Nabii wa kanisa hilo ELIYA ndo amefariki
A u serious! !?

kwa hiyo wanamuombea afufuke? naona hawana kazi,wapewe mashamba wakalime.
A u serious! !?
He! Asante kwa taarifa then fatilia vizur na utupe mrejesho..
wandugu nimepata taarifa kuwa ---- mambo mazito yanaendelea kuanzia jana hadi leo kanisani hapo mbezi Beach Makonde..Mwenye habari zaidi atujuze au kama kuna mtu anasali hapo atuambie tafadhali
Positive
Duh
Asante kwa taarifa!
Ningemlaum bure jirani yangu hyu...
Ungemlaum kwanin?
Acheni uongo nyie kizazi cha shetani,
Tangu jana kuna maombi ya TOBA, hakuna aliyekufa