Super Sub Steve
JF-Expert Member
- Jul 9, 2011
- 17,647
- 11,227
Hapo ndipo linapokuja kuwa tatizo kwa makanisa yanayojiita ya kiroho ambayo karibu yote yanaongozwa na mwanzilishi wake mchungaji fulani. Hapo ndipo utakapokubali muundo wa Kanisa Katoliki ulivyo imara!
Kuna mtu marekani alishawahi kufanya study ya dini na madhehebu yake akitaka kujua yako mangapi wakati anaanza yalikuwa 2600 alipomaliza utafiti wake ndani ya miaka minne yalikuwa elfu tano alipowakilisha utafiti kwa wanazuoni yalikuwa 6200.Ukristo ndio dini pekee ulimwenguni inayokua kwa kasi kwa kuwa na madhehebu mengi yenye imani tofauti.
Asisahau kutafuta kwanza nguo nyeupe mpaka viatu.Nenda kanisani kwao ukaulize hayo...huko ndio mahali pekee utapata majibu stahiki
tatizo wewe huelewi toka mwanzo wakati wa mitume imani ilikuwa moja ila kulikuwa na makusanyiko ktk nyumba tofauti na hii ndo inatakiwa siyo watu wako maelfu hawajuani kila mtaa eneo kulikuwa na kusanyiko mfano kanisa la Louse mamaake Timotheo na pia ukisoma vizuri kuikuwa na makusanyiko kikabila mf wayunani, kanis ala efeso, filipi, korintho hii ni kutokana na mila umbali na desturi lakini wakiamini kitu kimoja. Sasa hivi kuna Biblia ndio muongozo yoyote anayefuata Biblia na kuamini Yesu alimuokoa ni sahihi ila kuna izi imani za Yesu ni nabii, mara Yehova pekee, mara hakuna utatu ktk Mungu hapo kuna walakini.Kuna mtu marekani alishawahi kufanya study ya dini na madhehebu yake akitaka kujua yako mangapi wakati anaanza yalikuwa 2600 alipomaliza utafiti wake ndani ya miaka minne yalikuwa elfu tano alipowakilisha utafiti kwa wanazuoni yalikuwa 6200.Ukristo ndio dini pekee ulimwenguni inayokua kwa kasi kwa kuwa na madhehebu mengi yenye imani tofauti.
aliwaambia ameua shetani ataish nao miaka 1000 kwanini wasiamini na kumuabudu chezea muujza weweKwa nini..kuhani miaka 1000 inatumika hapa? Maana yake ni nini?
Tahadhari: Naomba nisitumwe kanisani nikaulize, anayejua anifafanulie tu ntajitahidi kuelewa.
Sijasema naendana na sloam,nimesema kwa nini napenda ukristo.
Napenda ukristo kwa kua unasema Yesu alikufa akafuta dhambi zetu zote,hakuna dhambi,chochote ukifanyacho hakuna dhambi tena duniani,tuko huru kufanya chochote maana hatutiwi hatiani.
aliwaambia ameua shetani ataish nao miaka 1000 kwanini wasiamini na kumuabudu chezea muujza wewe
Asisahau kutafuta kwanza nguo nyeupe mpaka viatu.
Mimi ni mkristo, lakini nadhubutu kusema hawa ndugu zetu wamewekewa vitu kwenye bongo zao, maana si bure.. Ujuha, uozo na ujinga mtupu juu ya mambo wayaaminiayo, eti ELiya alimpiga Shetani na kumuua mwaka 2008, eti nabii wao alipaa, watuonyeshe video zake basi za kupaa si walijiandaa kwa hiyo siku?
Kuna mtu marekani alishawahi kufanya study ya dini na madhehebu yake akitaka kujua yako mangapi wakati anaanza yalikuwa 2600 alipomaliza utafiti wake ndani ya miaka minne yalikuwa elfu tano alipowakilisha utafiti kwa wanazuoni yalikuwa 6200.Ukristo ndio dini pekee ulimwenguni inayokua kwa kasi kwa kuwa na madhehebu mengi yenye imani tofauti.
ni kama sijakuelew au nimesoma vibaya...
chochote tufanyavyo hatuna hatia?! labda ufafanue...vp kuhusu wezi, wabakaji? wazinzi, wauaji, wachawi yaani ni wengu wote hao ruksa kufanya hayo sabb tu msamaha umetangazwa?!! ufafanuzi tafadhari.
Rudia upya kusoma biblia yako na sio kupotosha watu.
Rusumo yupi? Ni yule aliyetuhumiwa kuwa mha miaji haramu ambaye baada ya kuona anafuatiliwa akaacha kazi au ni Rusumo yupi?
Hakuna kutoposha,huo ndio ukweli,hakuna dhambi duniani. kama kuna dhambi yesu alikuja kufanya nini? Labda uniambie kwamba yesu alikuja kutalii.
chochote tukifanyacho yesu alishalipa garama yake,iwe dhambi au sio dhambi Yesu alishalipa gharama yake,hakuna kitu kinaitwa dhambi. Ukisema dhambi ipo ina maana unakataa kwamba Yesu hakufa msalabani na wala hakuja kwa ajili ya dhambi za wana damu
Yohana 15:3 iansema hakuna upendo mkuu namna hii,mtu kujitoa nafsi yake kwa ajili ya rafiki zake
Yesu alishajitoa kwa ajili yetu ili tuwe huru na dhambi. Mwana akiwaweka huru mnakua huru kweli kweli,tuko huru na kila kitu.
Nampenda Yesu.