Siloam church

hii imani hii ni ya kijehnam uan hapa niushetwani kabisaaa hawana tofauti na free masons hawa.
 
Mnapeana Unabii ili mtafune Kondoo kwa raha zenu sio?

We mnyonga viuno Una laana.

Mnapigana mimba makanisani km Hakuna Serikali?
Hivi kweli hizi Ebola zitamalizika?

hivi wewe binti mbona hupenda kunifuata fuata nina mke.
 

Wakuu mi nadhani hapo mlibidi muanze kuelekezana dhehebu ni nini??, tunaposema "dhehebu" hatumaanishi tu kua ni watu wataotumia lets say biblia tofauti kabisaa na wenzao ama Korani tofauti na wenzao kama uyo mdau alivyodadavua, au ama kua watamwamini mtume mwengine zaidi ya Yesu na Muhammad, Noo!, ila ni kua tofauti katika taratibu za either za ibada or kua tofauti ktk kuyashika yale yalionzishwa na Yesu ama Mtume Muhammad though mnamwamini mtume mmoja uyo uyo ama Yesu mmoja uyo uyo. So haya chini ni madhehebu kwa upande wa kiislam

Sunni Islam


Shia Islam

Alawi Islam

Sufi Islam

Wahabi Islam

Druze and Ba'hai
 


Wakuu mi nadhani hapo mlibidi muanze kuelekezana dhehebu ni nini??, tunaposema "dhehebu" hatumaanishi tu kua ni watu wataotumia lets say biblia tofauti kabisaa na wenzao ama Korani tofauti na wenzao kama uyo mdau alivyodadavua, au ama kua watamwamini mtume mwengine zaidi ya Yesu na Muhammad, Noo!, ila ni kua tofauti katika taratibu za either za ibada or kua tofauti ktk kuyashika yale yalionzishwa na Yesu ama Mtume Muhammad though mnamwamini mtume mmoja uyo uyo ama Yesu mmoja uyo uyo. So haya chini ni madhehebu kwa upande wa kiislam

Sunni Islam


Shia Islam

Alawi Islam

Sufi Islam

Wahabi Islam

Druze and Ba'hai
 
Mungu alifanya vyema kutuumba wanadamu tukiwa na akili tofauti na wanyama. Sasa hao watu sijui Siloamu wanadanganyika kwa kukosa maarifa.
 
Wana macho hawaoni ....wana masikio lakini hawasikii
 
Kulikuwa na wenye ukoma wengi tu enzi za nabii elisha....ila akiponywa mmoja tu.
 

Madhehebu kwa waislamu yapo lkn IBADA ZETU ZOTE HAZINA TOFAUTI.
Na Waislamu wote TUNASWALI Ijumaa Na Tunaelekea Sehemu moja. Na Kitabu chetu ni KIMOJA.

Kwa WAKRISTO Ni SARAKASI TUPU.

Mnasema Yesu wenu ni mmoja, Sasa hebu nambie Je yesu aliwaambia mswali JUMAMOSI? AU JUMAPILI?

Pili Wasabato hawali Nguruwe lkn mliobaki wote mnakandamiza. Je nani yuko sawa ktk kula hio NYAMAFU?

Tatu WAKATOLIKI wachungaji wao Kuoa Hawaruhusiwi lkn KUBAKA ni Sawa tu! Wakati huo huo WAGALATIA WENGINE wanaoa na kutafuna Kondoo kila siku.

Nani anamfuata Yesu sawasawa?

Na Protestant wanapigana vita na Catholics kila siki huko Ireland na kila mmoja anadai yeye ndio ndugu yake na Yesu.
Je nani yuko sawa?

Kwanza kabla ya Kujibu yote haya Ni lini WACHUNGAJI NA PADRI WATAACHA KUBAKA NA KULAWITI WATOTO.

HEBU Mtazame huyu. Amekuja hapa TZ na Kulawiti watoto wetu chungu mzima kwa jina la Yesu.

 

Mkuu labda kama ujaelewa nilichokua nawaweka sawa hao watu wawili, walishindwa kuelewana kua nini maana ya dhehebu, ivyo kupelekea mmoja wao kushindwa kuelewa kua upande wake pia kuna dhehebu!!Tofauti katika hizi dini na madhehebu uja ktk namna ya dini hizo husika zinavyochambua vitabu vyao lakini si kwa lile kuu lilowafanya Watu wawe waiamini dini iyo husika
Mfano : Wakristo wote uamini kupitia Yesu na kitabu chao ni Biblia
Waislamu wote uamini kupitia mtume Muhammad na kitabu chao ni Korani
ILA SASA na tujiulize swali, kwanini dini hizi zote mbili zina madhehebu ikiwa kila dini moja wafuasi wake wanaamini kitabu kimoja na mtume mmoja katika dini husika. Ndipo unakuja kwenye jibu langu la msingi hapo kua madhehebu yanakuja kulingana namna watu wa dini husika wanavyoelewa maandiko ya vitabu ivyo na kuyaishi/kuyafata. So Hakuna husawia katika madhebu kwasababu tu ya namna kila dhehebu linavyoyaishi na kuyaelewa maandiko (naona ulienda nje ya nilichokijibu, uko nje ulipojaribu kwenda mimi si mtu wa uko, I can't urge or fight for any religion or any denomination, or even God, Sorry!!. Waafrika na wa Mid-East tumekua wajinga sana kupoteza muda uko kwenye hoja za kumtetea ama kumpigania Mungu as if Mungu kilema ama anataka msaada wa kupiganiwa while kwenye vitabu vyetu vya dini zote hizi mbili uyo uyo Mungu tunamwita ALMIGHTY God, Pl'se my fellow Africans let God fight for himself labda kama Mungu si Almighty tumuitavyo, na yapo yanayomshinda so anahitaji msaada wetu). Mkuu nadhani nimeeleweka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…