TUJITEGEMEE
Platinum Member
- Nov 6, 2010
- 27,297
- 28,006
ule jamaa wa maneno machafu ....au mwingine. (Rejea uchaguzi mdogo Arumeru).
ule jamaa wa maneno machafu ....au mwingine. (Rejea uchaguzi mdogo Arumeru).
'Silinde!' mbona hilo jina kwangu ni geni? wakuu naomba mnisaidie huyo ni mbunge wa wapi na anawakilisha chama gani.
Sipati picha huyu jamaa akiupata urais kisha akawa anapiga route za ugaibuni km le profeseri anaweza akawa kivutio kikubwa sana kwa wazunguSilinde umesahau kuwa waonaochagua viongoz ni wananch na wala si wewe.watanzania wanawaamini hao viongoz kwa kazi wanazo fanya kwa maendeleo ya nch yetu.huwez kujlinganisha na uwezo waviongoz hao hususan MH WASIRA uwezo wake ni mkubwa sana uvimbe upasuke WASIRA ndo rais wako 2015.
Sipati picha huyu jamaa akiupata urais kisha akawa anapiga route za ugaibuni km le profeseri anaweza akawa kivutio kikubwa sana kwa wazungu
Ni mbunge wa Mbozi magharibi kupitia CHADEMA.
Hawa viongozi magamba wana mavi kichwani, wameona shughuli ya ufugaji ni ya watu waliozeeka, wamechoka na waliokosa madaraka, hawajui ufugaji ni kazi kama zingine na hata wafugaji wakizeeka wanastaafu? profesa anataka kuchunga ng'ombe, P.M anataka kufuga nyuki, Lukuvi atakuja kutuambia anafuga mbwa wa biashara na wasira arudi ziwani akavue samaki. kwa uwezo wao wa kufikiri si ajabu nchi kuendelea kuwa maskini.
Mkuu umesahau Wasira kama yupo pale Serengeti karibu tu?
Mkuu umesahau Wasira kama yupo pale Serengeti karibu tu?
Ni kitu cha ajabu kwa mtu aliye na akili timamu !!
kwani kwenye maelezo hapo juu amesema anapambana nao au atapambana nao???
Wasira anajidaia zile kura za bora liende za 2012 hivi anafikiri kwenye jambo makini kuna mtu wa kumchagua Wasira seriously?
Silinde Kawaonya Wassira, Sitta na Pinda wasithubutu kuwania urais maana hata kura za maoni kwao ni ngumu kupita na hata wakipitishwa hawatapata Urais huku kwa wananchi.
Silinde ameyasema hayo Bungeni na amewataka wapumzike
Silinde alisema "Eti PM anasema akistaafu anataka awe mfuga nyuki. huwezi kuwa Waziri Mkuu halafu unawaza ukistaafu unasema unaenda kufuga nyuki, huku ni kuleta umaskini tu kwa kiongozi kama huyu".
Hivi nyie Vijana kwa akili za kawaida mnaweza kupambana na Mheshimiwa Wassira, kwa akili zenu combined, kumfikia hata robo tu, The person who is Intelligent, Giant,Great Thinker and Famous Politician like him.
Silinde na nyie wote hmuwezi kuargue na Sitta au Wassira, hakuna mdahalo ambao utakaofaa silinde ajenge hoja mbele ya Sitta au Wassira,
Hakuna Jukwaa ambalo huyo dogo anaweza kupanda na Wassira akatoka kama hero!
Hata kumjadili ni kupoteza muda, poor him.
Hao sio size yake kabisa, kawaulize ukawa what happen siku chache nyuma wakati wa Bunge la Katiba na Midahalo iliyolindima.
Kama Tundu Lissu alinyanyua Mikono mbele ya Wassira, huyu dogo wa Majengo mapya Uyole atafanya nini?.
Aibuu tupu.