Silinde alipua juu ya ndovu

AG aende haraka kuwafungulia kesi hao waliotuchafua ili tumjue adui wetu ni nani na ana nia gani. Asipofungua kesi wananchi watajua yasemwayo ni kweli.
 
Nlibahatika kuiona kwenye Channel ya Aljazeera! sidhani kama ni mitandao ya kijamii na magazeti tu. Tunatakiwa kujua kuwa mambo hayaanzi hivihivi tu! lazima kuna sababu kama sio ukweli

Achana na wapumbavu hao, wao hata masuala yanayohusu maslahi ya taifa wanadhani tunaongelea habari za ccm tu.
 
wewe ndo unakuwa si mweewa kwa mbunge wa chadema anawakilisha wananchi wote wa nchi hii kwa hyo si hjabarti? Na kwani hyo haiwahusu wananchi wote wa nchi hii? Ccm ni ukoo wa panya aisee watatumaliza watanzania!
Hao wanasema eti habari za mitandaoni ni watu wa ajabu sana,hivi ktk dunia ya leo mtu unategemea unapataje habari?Watu wa ccm wanatakiwa wafanyiwe ushauri nasaha ili waende na wakati.
 
Uongo wa wamarekani kuichafua China.

Huvi huwa unajihangaisha kidogo hata kutafakari jambo unalosikia au kuambiwa? Au kwenye "job description" yako hapo Lumumba inasema upinge kila jambo unalosikia kuhusu chama na taifa? Hizi njaa zitakuja kuwaumbua mchana kweupe.
 
Marekani kila siku inaomba misaada China... Wamarekani wanatuonea wivu
 
Huvi huwa unajihangaisha kidogo hata kutafakari jambo unalosikia au kuambiwa? Au kwenye "job description" yako hapo Lumumba inasema upinge kila jambo unalosikia kuhusu chama na taifa? Hizi njaa zitakuja kuwaumbua mchana kweupe.

Awaze nini? mwenzio anawaza atapataje buku7!!!!
 

Wakati mwingine ushauri wa Filikunjombe wa kuwachapa mboko mawaziri kama hawa unatakiwa ufanyiwe kazi.Marekani iwaonee wivu wa Tanzania kwa kuwa wachina wanampango wa kutujengea reli pamoja na bandari ya kisasa ,wakati tayari wamarekani wamejenga barabara zaidi ya 3 kwa kiwango cha rami,vyandarua vinavyotumika mahosptalini na wanavyouziwa wajawazito 500/=ni msaada kutoka Marekani na vyote tayari vinatumiwa na watanzania.Iweje wamarekani watuonee wivu watanzania kwa kuahadiwa kujengewa bandari na reli na wachina vitu ambavyo ni ahadi ambayo inaweza ikavunjwa wakati wowote na wachina.
 

Hana akili,mbunge unategemea kutafuta cha kuongea bungeni kwenye online forum?

Hamjui msemalo; ama mmejazwa ujinga au mmeleweshwa na itikadi za kisiasa. Mlitaka atoe wapi habari? Ninyi mnaingia humu kutafuta nini kama sio pamoja na kutafuta na kupata habari?

Kwa ufahamu wenu, vyanzo vya habari viko vya aina ngapi? Mitandao sio vyanzo vya habari?

Mmenikumbusha ujinga wa Mzee Sitta, wakati Dr. Slaa alipokuja na ile orodha ya aibu [list og shame], mzee Sitta alizungumza ujinga kama wenu 'unaleta habari za mitandaoni'.

Ni vema kuwa na logic badala ya kutanguliza ushabiki na itikadi za kisiasa.

Hatupaswi kukubali kila neno, lkn ni ujinga uliopitiliza kukataa kila neno kwa hoja dhaifu kama hizi 'habari za mitandaoni'.

Vv
 

Hizo book 7 zinawatoa akili kiasi hicho? Hivi kila anachozungumzia mbunge bungeni lazima awe ametumwa na wapiga kura wake? Ondoa hapa maneno ya kwenye vijiwe vya kahawa JF ni mahali pa watu wenye akili hawawezi kuusikiliza huo mchango wako utumbo. Dr. Slaa kwa mara ya kwanza alipoibua wizi wa EPA kina Lowassa walitumia lugha hiyo hiyo eti hayo ni mambo ya kwenye mitandao. Kwani mambo ya kwenye mitandao hayawekwi na binadamu.

Ningekutukana tusi baya lakini naogopa ban.

Tiba
 

Tuko pamoja mkuu Vyamavingi. Hawa book 7 ni wapuuzi kupita kiasi na wanakera mno.

Tiba
 
Hao wanasema eti habari za mitandaoni ni watu wa ajabu sana,hivi ktk dunia ya leo mtu unategemea unapataje habari?Watu wa ccm wanatakiwa wafanyiwe ushauri nasaha ili waende na wakati.

Mkuu ccm imejifia wanategemea kupata habari sokoni hata za intelligence ndo maana wanafeli hawajui vyanzo vya Habari wamekariri
 

....ati Wamarekani wanatuonea wivu! Hao ndio ambao kila kukicha tunawaendea kuwaomba misaada halafu wanasema wanatuonea wivu!

Wachina ndio waliopaswa kusema kuwa Wamarekani wanawaonea wivu, sio sisi tunaotegemea misaada yao ndio tutoe kauli kama hivyo.

Vv
 
Nlibahatika kuiona kwenye Channel ya Aljazeera! sidhani kama ni mitandao ya kijamii na magazeti tu. Tunatakiwa kujua kuwa mambo hayaanzi hivihivi tu! lazima kuna sababu kama sio ukweli

Mkuu umesahau wakati wa ujio wa Rais wa China kuna raia wa China walikamatwa na contena la pembe za ndovu pale bandarini na kisha wakaachiwa kiaina?
 

Unaposema kuwa mbunge mzima ana hoji mambo aliyoyasoma kwenye mitandao unamaanisha kitu gani?kwani unamfahamu aliye yaweka hayo mambo unayosema kuwa ni mambo ya mtandaoni?kwani hayo mambo ya mtandaoni hayawezi yakawa yamewekwa na mbunge aliyehoji?au hayawezi yakawa yametokana na yeye mwenyewe kama chanzo?.
 

Yaani hapo akili yako ndio ipo katika ubora wake wa hali ya juu wa kufikiria. No wonder hii nchi mnaiua, but mtakufa ninyi na nchi itakombolewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…