Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 43,037
- 34,742
Tasbihi ina siri yake au hata Rozari ina siri yake katika mambo ya uganga siwezi kukwambia zaidi ya hapo Nazjaz Mambo mengine ni ya Siri huwezi kumwambia kila mtu Samahani.kuna uhusiano gani kati ya tasbihi na tunguri? Naomba unijibu kutokana na hiyo picha uliyoipost my bro MziziMkavu
Ukiwaona hawa Viumbe usiku tafadhali usiwapige hawa ni watu Paka watu hawa.Yote haya hayafui dafu mbele ya Jina lenye nguvu la Yesu wa Nazareth!
Ukiwaona hawa Viumbe usiku tafadhali usiwapige hawa ni watu Paka watu hawa
Zamani pengine lakini siku hizi hapana. Nikiliita tu jina hili Yesu basi hutawaona hawa. Niliwahi kukutana na kundi kubwa la watu wa aina hii usiku mtoni kule Usukumani. Nilipiga magoti, nikanyanyua mikono yangu juu nikaiita Zaburi 23:1-10 kwa sauti kuu.
Nilipofungua macho sikuona kitu na kesho yake kukawa na vilio sehemu mbili hapo kijijini. Ukimwamini Yesu kwa moyo wote hatakaa uogope mchawi tena na utakuwa umefunguliwa.
Aaaaargh ni raha iliyoje kuishi katika uhuru na kivuli cha jina hili lenye nguvu. YESU KRISTO WA NAZARETH!!!
Haya kaka.@Shimba ya Buyenze Kaa na imaniyako itakusaidia "Kamwe Usimwamini Mwanasiasa Hata Kama ni Babako Mzazi" Shimba ya Buyenze (2015)
Asante MziziMkavu kingunge wa wachawi. Ni kweli. Kila mtu na ashike imani yake na kuabudu anachokiamini na kinachomsaidia katika maisha yake.
Yote kwa yote tusivimbishe vichwa sana na kujisahau hata kama tuwe wachawi wenye nguvu kiasi gani, siku yetu ikifika tutaiacha dunia hii na kwenda mbele ya haki. Tuishi kwa kutenda wema, kusaidia masikini huku tukijua kuwa vyote tulivyonavyo tutaviacha. Ubarikiwe mkuu!
...and yes. Kamwe Usimwamini mchawi hata kama ni babako mzazi. Siku akibanwa na wachawi wenzake huko anaweza kukutoa kafara...
Nimeshakupata mkuu. Kuna kitu nitakuuliza pembeni. Blessings!Usimwamini Mwana Siasa yoyote hata kama ni baba yako siku akitaka kushinda uchaguzi anaweza kukutoa wewe kafara haya umenielewa vizuri.
Haya hakuna shida mkuu.SHIMBA YA BUYENZE Usisahau kusoma kila wakati:Nimeshakupata mkuu. Kuna kitu nitakuuliza pembeni. Blessings!
kuna uhusiano gani kati ya tasbihi na tunguri? Naomba unijibu kutokana na hiyo picha uliyoipost my bro MziziMkavu
Na huyu je?Ukiwaona hawa Viumbe usiku tafadhali usiwapige hawa ni watu Paka watu hawa.