Silaha ya sumu ni hatari

mwalidebe

JF-Expert Member
Mar 27, 2016
425
248
Nilikuwa niko mimi na babu na mtoto wote tulikuwa tuko safarini tunasafiri, ikafika mahali basi letu likasimama baada ya basi lingine lilokuwa mbele yetu kusimama. Ndipo nikaona ghafla na kwa haraka watu wakipiga kelele huku wakilia sana sana na wengine wakisikika wakisema sumu sumu, kutahamaki watu waliokuwa kwenye basi lilo mbele yetu wakaanza kufa na kugeuka uji uji baadae funza wakubwa wenye mandevu mengi kama ya samaki kambale kuanzia dereva mpaka abiria wa mwisho.

Ghafla ile hali ikaingia kwenye basi letu, watu wanageuka ujiuji baadae funza wenye mindevu kama kambale. Kwa haraka nikamwambia babu, embu ruka dirishani baadae nikamtoa mtoto dirishani na mimi nikaruka, tukaanza kukimbia lile eneo baada ya muda tukasimama kwa mbali tukaangalia watu wote wamekufa na wanao onekana ni mafunza tu.

Ghafla nikashtuka hee kumbe nilikuwa naota ilikuwa ndoto dah sijapata jibu mpaka sasa ila baada ya usingizi kunitoka nilijiua nini cha kufanya unajua nilifanya nini, subiri nitakusimulia ingawa sijapata tafsiri ya hii kitu ila moyoni nasema silaha ya sumu ipigwe marufuku dunia nzima. Ila bado nahitaji tafsiri ya hii ndoto je ina maana gani? Kwanini mimi nipone pamoja na babu na Mtoto? Kwanini wale abiria wenzetu walikufa?
 
Dereva wa basi =dereva wa nchi ( yoyote duniani)
Kondakta *2= Makondakta(makondakta pia wamekufa??
 
Nilikuwa Niko Mimi na Babu na Mtoto wote tulikuwa tuko safarini tunasafiri,ikafika mahali basi letu likasimama baada ya basi lingine lilokuwa mbele yetu kusimama. Ndipo nikaona ghafla na kwa haraka watu wakipiga kelele huku wakilia sana sana na wengine wakisikika wakisema sumu sumu, kutahamaki watu waliokuwa kwenye basi lilombele yetu wakaanza kufa na kugeuka uji uji baadae funza wakubwa wenye mandevu mengi kama ya samaki kambale kuanzia dereva mpaka abiria wa mwisho.
Ghafla ile hari ikaingia kwenye basi letu,watu wanageuka ujiuji baadae funza wenye mindevu kama kambale.
Kwa haraka nikamwambia babu, embu luka dirishani baadae nikamtoa Mtoto dirishani na Mimi nikaruka,tukaanza kukimbia lile eneo baada ya muda tukasimama kwa mbali tukaangalia watu wote wamekufa na wanao onekana ni mafunza tu!!
Ghafla nikashtuka hee kumbe nilikuwa naota ilikuwa ndoto dah sijapata jibu mpaka sasa ila baada ya usingizi kunitoka nilijiua nini cha kufanya unajua nilifanya nini subiri nitakusimulia...ingawa sijapata tafsiri ya hii kitu ila moyoni nasema silaha ya sumu ipigwe marufuku dunia nzima. Ila bado nahitaji tafsiri ya hii ndoto je inamaana gani? Kwanini Mimi nipone pamoja na babu na Mtoto? Kwanini wale abiria wenzetu walikufa?

= hali
= ruka

Ungekufa nani angehadithia?

Kuna siku uliona funza kwenye kambare, akakukaa moyoni.
 
Back
Top Bottom