Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 373,309
- 864,897
Vita inayoendelea mashariki ya kati, Afika na kwingineko duniani ni mpango mahsusi wa marekani na washirika wake.
Kwa macho ya kawaida unaweza kufikiri kuwa Marekani ni mtu mzuri na mpenda amani lakini nyuma ya pazia hali ni tofauti mno, huku anachonganisha watu wapigane ili auze silaha, watu wake wapate ajira, uchumi ukue.
Mbele ya macho ya watu anakuwa mshauri na mpatanishi na mtoa misaada.
Vyovyote iwavyo vita haitakaa ikome duniani, labda wa mabwana wakubwa waache kutengeneza silaha.