INTROVERT MAN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2019
- 993
- 1,337
Katika Vita vya Vietnam, Wavietnam wale wazee wa Dj Afro walitumia pinde kubwa kama hizi kuangushaa helikopta za Marekani. Ilitengenezwa kwa mianzi na mshale wenye urefu wa mita 2.5m.
Wakati helikopta za Marekani zilikuwa zikiruka polepole na chinichini karibu na ardhi , basi, kawaida askari wa nchi kavu wa Vietnam ndipo walipopata nafasi kuzitumia hizi silaha. ufanisi wake ulikuwa ni kuharibu cabin ya helkopta, kupasua vioo au hata kuua au kuumiza rubani.
Picha hii ilinaswa kwenye Uwanja wa vita mnamo 29/11/1965.