Okrap JF-Expert Member Joined Jul 13, 2022 Posts 1,112 Reaction score 2,315 May 9, 2023 #1 Nikuambie kitu wewe usiyemwamini Mungu, kwa kweli Mungu anazo silaha nyingi sana za kumnyamazisha mwanadamu mkorofi... Maji (mafuriko) Hewa(kimbunga) Chakula(sumu) Njaa(ukame) Nk... Zote hizi ni silaha zake, aligeuza bahari ya sham ikawameza Wamisri. Sasa basi unapaswa uwe makini, hata kwikwi ni silaha hatari sana 🏾
Nikuambie kitu wewe usiyemwamini Mungu, kwa kweli Mungu anazo silaha nyingi sana za kumnyamazisha mwanadamu mkorofi... Maji (mafuriko) Hewa(kimbunga) Chakula(sumu) Njaa(ukame) Nk... Zote hizi ni silaha zake, aligeuza bahari ya sham ikawameza Wamisri. Sasa basi unapaswa uwe makini, hata kwikwi ni silaha hatari sana 🏾
Naby Keita JF-Expert Member Joined Oct 20, 2011 Posts 12,891 Reaction score 20,128 May 9, 2023 #2 Hii labda kwa watawala
fundi bishoo JF-Expert Member Joined Jun 26, 2018 Posts 14,497 Reaction score 27,763 May 9, 2023 #3 Sawa