Sikuwahi kumuelewa Kipanya kwa Uteuzi na yanayoendelea kwa Makonda sina/huna budi kumuelewa

Mgodo visa

JF-Expert Member
Nov 1, 2016
3,562
3,559
Ilinichukua muda kuelwa/kuielewa kibonzo hiki, nikasema hapana, ilinichukua muda, ila baada ya Uteuzi wa Makonda na yanayo endelea...!!

Jaribu nawe kufungua Macho/Ubongo.
Screenshot_20230310-192316%20(1).jpg
 
Ccm itaendelea kutawala muda mrefu sana kama kuwa ina watu wa kila namna

yaani ni buffet

ukimiss pilipili utazikuta, ukitaka chachandu ipo n.k
 
"The greatest trick the Devil ever pulled was to convince the world he didn't exist."

Hapo watu mnamuandama Makonda kwamba ndio mbaya na adui kumbe waliomtuma / wanaomtuma ndicho wanachotaka wao wanaendelea na Ujambazi wao nyie mnahangaika na Wezi....
 
Huu ndio ukweli,busy kujadili mtu na personality yake,yanayoendelea nyuma ya pazia hamna anayewaza yanaendelea. Makonda knows how to court attention and distract majority of people.
 
Sijawahi kabisa kuwaelewa Kipanya na Mpoto. Huwa wanaforce sana mambo mwisho wa siku wanakuwa hawaeleweki.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom