Sikuu kuu ya kristmas na mwaka mpya

GwaB

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2014
Posts
5,225
Reaction score
7,086
Ndugu wana JF, Naona tuchemshe bongo kidogo kwa kujibu swali rahisi tu; Kati ya siku kuu hizi mbili maarufu duniani kwa maana ya kristmas na mwaka mpya, ni ipi inatangulia?(husherehekewa kwanza) Jibu lako liambatane na ufafanuzi tafadhali. Naomba kuwasilisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…