Sikutegemea lakini ndio imetokea, Nifanyeje?

upo wapi mzee kifimbo cheza? lugha yetu inachafuliwa hivi jamani. njoo na JF huku husambaze bakora kwa hawa watoto.

hujasoma mitindo na lugha ambayo mwandish hutumia mf mixn lang,lugha ya mtaani hyo inaruhusiwa mfn kasom the beautiful one are nt yet born,watt wa mama ntilie, nk
kawaida xn hii ktk uwanja wa fasihi
 
si uhadithie tu bila ya kueleza elimu yako

kwan kueleza elim yang kosa liko wap hapo?
halàf elim n sehem ya mazungumzo,kutokuihiusisha kuna kitu kitachofichoka,ambapo hapa audianc kuna kitu wamejifunza
 
Suplimentary siku hizi zimezoeleka wala hawaziogopi, muonee tu huruma na HIV. mtoto mdogo anacheza na kifo.

siwez pata sup niko timam kichwan,hcho kinawashangaza weng napnd bata,mzik nk
bt academically niko vizuri ajab,
na inavyoonekn hich chuo huend wakanibakisha kuz ntafany wonders
 
Ugoro mtupu.umepotea njia fb ndo halal yko
 
Unasoma chuo kikuu,au vile vyuo vinavyopatikana ghorofa ya saba?
 
kitakachotokea, jamaa yake alikuwa anavuka boda, yaani kasafiri,huko aliko atakusanya ukimwi, atakuja kumgawia huyo dem na demu atakugawia wewe na wewe utamgawia dem wako na demu wako ataenda kuwagawia wanachuo wenzio...mtandao wenu naona unazidi kupanuka. usisahau kuweka hela ya mazishi ili ndugu zako wasije kusumbuka.
 

ukiwaza hilo ucnge gonga o kugongwa kuz muda wote utakuwa unawaza virus tu vitasambaaj
na km mngekuwa mnawaz hayo kusingekuwa na maambukiz ya ukimw,na msingejazan mwananyamala kuchukua dozi!!!
 
Ndo basi tena ameshaleta aibu juu ya elimu za watu.Sina uhakika kama alivuka form two huyu aliyeandika hii habari.
 
ukiwaza hilo ucnge gonga o kugongwa kuz muda wote utakuwa unawaza virus tu vitasambaaj
na km mngekuwa mnawaz hayo kusingekuwa na maambukiz ya ukimw,na msingejazan mwananyamala kuchukua dozi!!!
sasa wewe poyoyo, ni nani anachukua vidonge mwananyamala? unafikiri kila mtu ni mzinzi kama wewe? wewe na huyo dogo wa chuo aliyevamia mke wa mtu tena bila hata condom baada ya bwanake kusaafiri ndio muyaweke hayo kichwani pengine yatawasaidia. sisi wenzenu tunafuata dini na tulishaoa na watoto wakubwa kama wewe, kama ngono tulishafanya sana tumewaachie ninyi limbukeni mle nchi ili nchi nayo iwatafune.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…