Sikutegemea lakini ndio imetokea, Nifanyeje?

Sikutegemea lakini ndio imetokea, Nifanyeje?

Ukipata suplimentary mawazo yote ya mabinti sio huyo jirani yako tu bali hata huyo wa mzumbe automatically yatakutoka wala usiwe na haraka hivyo!!
 
upo wapi mzee kifimbo cheza? lugha yetu inachafuliwa hivi jamani. njoo na JF huku husambaze bakora kwa hawa watoto.
 
Ukipata suplimentary mawazo yote ya mabinti sio huyo jirani yako tu bali hata huyo wa mzumbe automatically yatakutoka wala usiwe na haraka hivyo!!

Suplimentary siku hizi zimezoeleka wala hawaziogopi, muonee tu huruma na HIV. mtoto mdogo anacheza na kifo.
 
xaxa hapo umekoxea xana maana huku2mia kinga xi unaona xaxa uxije pata balaa hapo baadae
 
Mzee hebu tupia picha la hilo lishangazi kwanza, ili nijue natoa ushauri wa aina gani

atajulikan kuz nilipo kun wa jm weng xn,bt co jimam n mdada mflan hv amenona hataree jo
titi limesimam km yuko fom3, na ana mzgo amazing
 
Nadhani sasa kuna haja ya vyuo kuanzisha "holiday's activities". Unakwenda likizo lakini unakua na kimodule cha hukohuko home, ukirudi unasubmit kazi yake, at least hawa vijana wawe busy! La sivyo tutakuwa tunatengeneza nguvu kazi "mfu". Lile kundi tegemezi linakua kwa kasi ya ajabu; tuna wazee, ninyi vijana mnangonoka hovyo mnatuongezea watoto na ngono zembe zenu zinawaua. Yaani kila activity yenu inalenga kuliongezea Taifa "age dependency ratio"

xx hyo itakuwa uadivance tena xo chuo,japo gud idea
bt lov is natural phenomenon
xo kugongana hakuepukik
 
Ukipata suplimentary mawazo yote ya mabinti sio huyo jirani yako tu bali hata huyo wa mzumbe automatically yatakutoka wala usiwe na haraka hivyo!!

niko timamu kichwan imenifany chuo menu n missing items wanangharamia ili wawe clos na mm
 
Back
Top Bottom