Sikutarajia Ole Sabaya aendelee kuwepo, Jipe Moyo Wazalendo tuko na wewe

Hahaha, utabiri wa hivi ulianza kipindi bashite anatumbuliwa, mara kaandaliwa ubunge, mara atakuwa waziri wa ulinzi! Leo hii yako wapi? Amebaki kutingisha tako tu (Japo kwa sasa limepungua). The same fate will happen to your Sabaya
 
Hoja hujibiwa kwa hoja sio kwa maneno matupu

Ili kutufunua sisi tusiojua kwa undani kinachoendelea ulitakiwa utolee ufafanuzi kwa yale anayotuhumiwa nayo

Kwa mfano ulitakiwa useme 'tuhuma ya kulazimisha wafanyabiashara wampe pesa si kweli kwasababu.....

Tuhuma kwamba alivamia hotel ya mbowe akuwa na gari lenye namba za UN si kweli badala yake.......

Kwamba anatuhuma za kutaka kumbaka Nandy........

Lakini haya uliyoyasema ni maneno yasiyo na nyama

Halafu kuipigania ccm inatakiwa kufanyike kihalali bila kuumiza wengine waziwazi!

Huwezi kuumiza watu kwa kujifunika shuka la kuipigania CCM! Wenye akili watakushughulikia tu
 
Ndiyo ameshatumbuliwa sasa kama vipi andamaneni muendo Chato kushtaki kwenye kaburi la yule dhalim
 
Kwamba SERIKALI ILIYOMSIMAMISHA NI YA CHAMA PINZANI AU? KUNA VITU VYA KUTETEA LAKINI KWA HILI HAPANA. Naamini aliyemsimamisha yupo na taarifa za kweli kuliko yeyote yule katika taifa Hilo. Nasisi na Rais katika Hilo, uchunguzi ufanyike na ukweli ujulikane. Nalog off
 
Kuna wakati historia itatuhukumu.....

Sijajua kwa nini Ole Sabaya wa JPM leo ameonekana mbaya..../
 
You're home sick
 
Kama Sabaya ni mzalendo basi legacy ya hayati Magufuli imedhihirika.
Wahalifu, majambazi, madhulumati kama Sabaya ili mradi wanaisadia CCM na kuliangamiza Taifa eti ni sawa tu kweny. Hiyo ndio legacy ya Magufuli.

Tanzania kwa somo hili la mwendezake, hatutakaa tena, kamwe kuachia hatma ya nchi yetu mikononi mwa wahuni kama Sabaya na mamlaka iliyomteua na kumlinda kipindi chote.
 
Kuna wakati historia itatuhukumu.....

Sijajua kwa nini Ole Sabaya wa JPM leo ameonekana mbaya..../
sio malaika. ana madudu yake.. JPM mwenyewe hakuwa msafi sana kiasi kwamba alitenda mema muda wote..
and so watendaji wake.
sabaya since utawala wa mzee alikuwa na dosari nyingi sana.. lakin nani wa kumfunga paka kengele?
 
Its too late haikusaidii ndugu jambazi,subiri report ya uchunguzi
 
Rubbish
 
Wewe ni mpumbavu sana
 
Kwahiyo rais achekee majambazi Kama Sabaya? Sabaya ni MTU aliyeaaminiwa na serikali lakini aliamua kufanya kazi kwakutofuata maadili yeye mwenyewe.
Aliamua kuwa mungu MTU,mtesaji,mkiukaji wa haki za binamu,mwonevu,nk ulitaka rais afanyaje labda.
Acha kumpangia rais cha kufanya,nchi yenye watu zaidi ya mil.55 atapatikana tu mzalendo mwingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…