Sikutarajia Ole Sabaya aendelee kuwepo, Jipe Moyo Wazalendo tuko na wewe

Naipendatz

JF-Expert Member
Jul 27, 2011
4,641
2,000
Sabaya hajafutwa kazi, bali amesimamishwa kwa muda ili kupisha uchunguzi kuhusu shutuma anazoshutumiwa. Ninachokiona hapa ni kama vile kumtafutia njia nzuri ya kumsafisha, kwani baada ya muda itakuja report inayoonesha kuwa haya yote anayoshutumiwa Sabaya sio ya kweli (kwa vile uchunguzi utakuwa ushafanyika Sabaya akiwa nje ya ofisi) basi itakuwa ngumu watu kuendelea kumshutumu kwan tayar kesi yake itakuwa imekwisha msafisha, na hapo sasa atateuliwa kuwa mkuu wa mkoa fulani (jina kapuni). Vijana tulieni muone siasa inavyochezwa. Huyu bwana hajatumbuliwa bali kasimamishwa kwa muda eti kupisha uchunguzi. Hapo wenye akili mtaanza kupata picha.
Hahaha, utabiri wa hivi ulianza kipindi bashite anatumbuliwa, mara kaandaliwa ubunge, mara atakuwa waziri wa ulinzi! Leo hii yako wapi? Amebaki kutingisha tako tu (Japo kwa sasa limepungua). The same fate will happen to your Sabaya
 
Uncle Jei Jei

JF-Expert Member
Jan 7, 2011
1,643
2,000
MAONI KUHUSU DC LENGAI OLE SABAYA KUSIMAMISHWA U-DC WILAYA YA HAI

Cde, Daniel Limbu
0752114510

DC LENGAI OLE SABAYA ni kijana mzalendo wa kweli kwa Taifa letu.

Tumezisikia shutuma nyingi sana kumhusu Lengai Ole Sabaya tangu akiwa M/kiti wa UVCCM Mkoa wa Arusha na bahati nzuri nimeishi naye kama kiongozi wangu kwenye Chama,nimesali naye mara nyingi sana pale Kanisa la Arusha Kati kwa muda mrefu kabla hajateuliwa kuwa hata DC.

Siku chache zilizopita nilipata fursa ya kujadiliana naye kuhusu mstakabali wa maisha yake kisiasa kabla hata hajapata kuhojiwa na Cloud TV na miongoni mwa mengi niliyomwambia ilikuwa ni kumtia moyo maana hatabaki salama kwenye nafasi yake kulingana na nadharia tunduishi ambazo zimeonekana wazi kwamba hatakiwi tena Serikalini.

Lengai Ole Sabaya ametuhumiwa kwa mengi lakini lililo kubwa zaidi ni msuli wake wa kisiasa ambao umetikisa wengi kanda ya Kaskazini Arusha na Kilimanjaro.

Huyu Sabaya alikuwa mwiba mkubwa kwa Chadema ya Mbowe wilaya ya Hai na Chadema ya Godbless Lema Arusha mjini na miongoni mwa Vijana ambao binafsi na CCM inatakiwa kujivunia kwao ni huyu Lengai Ole Sabaya.

Miongoni mwa watu waliofanikiwa kuisaidia CCM kurejesha heshima yake na kusambaratisha ngome ya Chadema Arusha na Kilimanjaro yamechangiwa na huyu jemedari wa siasa za jukwaani na kimkakati.

Lengai Ole Sabaya amesimashwa kazi si kwa sababu aliiba au kumdhulumu mtu yeyote,
Amesimamishwa kazi kwa tuhuma za kisiasa kwa sababu alivuruga maslahi ya wachache waliojitoa kuwaibia wengi wilaya ya Hai.

Binafsi sikutarajia Lengai Ole Sabaya aendelee kuwemo kwenye nafasi yake ya Ukuu wa wilaya ya Hai kwa sasa hii inatokana na aina ya serikali iliyopo kwani vijana ambao walisimamia misingi ya kuitetea nchi yetu kwa Uzalendo wao mfumo hauwahitaji tena.

Vijana aina ya Lenagai Ole Sabaya Sasa watabaki kwenye kundi la kuadhibiwa na kudharirishwa hata kama hicho wanachopitia hakikuwasitahili kwa umuhimu wao ndani ya Chama Cha Mapinduzi na Serikali yake.

Lengai Ole Sabaya amesimamia anachomiamini mpaka mwisho na ametimiza wajibu wake kwa watu wa Wilaya ya Hai na nchi yake na tuzo itatoka kwa Mungu.

Huu ni mkakati wa kufumua vijana wazalendo tishio la serikali dharimu inayoanza kujijenga nchini.

Lengai Ole Sabaya amesimamia alichokuwa anakiamini Kama ambavyo baba yake mzee Sabaya alivyotimiza wajibu wake alipokuwa Mkuu wa Wilaya ya Serengeti mkoani Mara na wakati huohuo akikaimu Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Bunda katika kipindi Cha Awamu ya tatu na Nne.

Asili ya Ujasili wa Lenagi Ole Sabaya inatokana na malezi na makuzi yake ya kizalendo ambayo alijengewa na misimamo thabiti ya familia yake.Hulka ya huyu kijana inazaa vijana wengi ambao tumeamua kuisimamia haki katika kipindi cha giza nene baada ya kifo Cha Hayati Dkt John Pombe Magufuli.

Ombi langu kwa Lengai Ole Sabaya kamwe usijione mnyonge japo maumivu ya lililokutokea ni makubwa kuliko taji na heshima uliyotakiwa kupewa kama shujaa na mzalendo kwa nchi na Taifa lako jipe moyo mapambano yaendelee.

Najua wapo wengi watabeza na kufurahia kusimamishwa kwako maana kwao ni ushindi mkubwa kwani unahalarisha udharimu wao kwa watu wanyonge wa Wilaya ya Hai na Tanzania.

Maadui zako wanafurahia anguko lako lakini vijana wazalendo wa nchi hii wanasikitika pamoja na wewe,Wazalendo wa nchi hii tunakuamini sana na tunakuunga mkono.

Naamini kuondolewa kwako sio mwisho wa Safari ya mapambano katika kuidai haki ya mnyonge wa nchi hii.

Lengai Ole Sabaya umepita kwenye tanuru la Moto wa Mtakasaji ili kukuandaa kuwa dhababu Safi kwa ajili ya utumishi wa Taifa hili siku za usoni.

Pambania ndoto kubwa but In God's time your crown will be placed on the right place.

Cde Daniel Limbu
0752114510
Hoja hujibiwa kwa hoja sio kwa maneno matupu

Ili kutufunua sisi tusiojua kwa undani kinachoendelea ulitakiwa utolee ufafanuzi kwa yale anayotuhumiwa nayo

Kwa mfano ulitakiwa useme 'tuhuma ya kulazimisha wafanyabiashara wampe pesa si kweli kwasababu.....

Tuhuma kwamba alivamia hotel ya mbowe akuwa na gari lenye namba za UN si kweli badala yake.......

Kwamba anatuhuma za kutaka kumbaka Nandy........

Lakini haya uliyoyasema ni maneno yasiyo na nyama

Halafu kuipigania ccm inatakiwa kufanyike kihalali bila kuumiza wengine waziwazi!

Huwezi kuumiza watu kwa kujifunika shuka la kuipigania CCM! Wenye akili watakushughulikia tu
 
SAGAI GALGANO

JF-Expert Member
Nov 13, 2009
33,263
2,000
MAONI KUHUSU DC LENGAI OLE SABAYA KUSIMAMISHWA U-DC WILAYA YA HAI

Cde, Daniel Limbu
0752114510

DC LENGAI OLE SABAYA ni kijana mzalendo wa kweli kwa Taifa letu.

Tumezisikia shutuma nyingi sana kumhusu Lengai Ole Sabaya tangu akiwa M/kiti wa UVCCM Mkoa wa Arusha na bahati nzuri nimeishi naye kama kiongozi wangu kwenye Chama,nimesali naye mara nyingi sana pale Kanisa la Arusha Kati kwa muda mrefu kabla hajateuliwa kuwa hata DC.

Siku chache zilizopita nilipata fursa ya kujadiliana naye kuhusu mstakabali wa maisha yake kisiasa kabla hata hajapata kuhojiwa na Cloud TV na miongoni mwa mengi niliyomwambia ilikuwa ni kumtia moyo maana hatabaki salama kwenye nafasi yake kulingana na nadharia tunduishi ambazo zimeonekana wazi kwamba hatakiwi tena Serikalini.

Lengai Ole Sabaya ametuhumiwa kwa mengi lakini lililo kubwa zaidi ni msuli wake wa kisiasa ambao umetikisa wengi kanda ya Kaskazini Arusha na Kilimanjaro.

Huyu Sabaya alikuwa mwiba mkubwa kwa Chadema ya Mbowe wilaya ya Hai na Chadema ya Godbless Lema Arusha mjini na miongoni mwa Vijana ambao binafsi na CCM inatakiwa kujivunia kwao ni huyu Lengai Ole Sabaya.

Miongoni mwa watu waliofanikiwa kuisaidia CCM kurejesha heshima yake na kusambaratisha ngome ya Chadema Arusha na Kilimanjaro yamechangiwa na huyu jemedari wa siasa za jukwaani na kimkakati.

Lengai Ole Sabaya amesimashwa kazi si kwa sababu aliiba au kumdhulumu mtu yeyote,
Amesimamishwa kazi kwa tuhuma za kisiasa kwa sababu alivuruga maslahi ya wachache waliojitoa kuwaibia wengi wilaya ya Hai.

Binafsi sikutarajia Lengai Ole Sabaya aendelee kuwemo kwenye nafasi yake ya Ukuu wa wilaya ya Hai kwa sasa hii inatokana na aina ya serikali iliyopo kwani vijana ambao walisimamia misingi ya kuitetea nchi yetu kwa Uzalendo wao mfumo hauwahitaji tena.

Vijana aina ya Lenagai Ole Sabaya Sasa watabaki kwenye kundi la kuadhibiwa na kudharirishwa hata kama hicho wanachopitia hakikuwasitahili kwa umuhimu wao ndani ya Chama Cha Mapinduzi na Serikali yake.

Lengai Ole Sabaya amesimamia anachomiamini mpaka mwisho na ametimiza wajibu wake kwa watu wa Wilaya ya Hai na nchi yake na tuzo itatoka kwa Mungu.

Huu ni mkakati wa kufumua vijana wazalendo tishio la serikali dharimu inayoanza kujijenga nchini.

Lengai Ole Sabaya amesimamia alichokuwa anakiamini Kama ambavyo baba yake mzee Sabaya alivyotimiza wajibu wake alipokuwa Mkuu wa Wilaya ya Serengeti mkoani Mara na wakati huohuo akikaimu Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Bunda katika kipindi Cha Awamu ya tatu na Nne.

Asili ya Ujasili wa Lenagi Ole Sabaya inatokana na malezi na makuzi yake ya kizalendo ambayo alijengewa na misimamo thabiti ya familia yake.Hulka ya huyu kijana inazaa vijana wengi ambao tumeamua kuisimamia haki katika kipindi cha giza nene baada ya kifo Cha Hayati Dkt John Pombe Magufuli.

Ombi langu kwa Lengai Ole Sabaya kamwe usijione mnyonge japo maumivu ya lililokutokea ni makubwa kuliko taji na heshima uliyotakiwa kupewa kama shujaa na mzalendo kwa nchi na Taifa lako jipe moyo mapambano yaendelee.

Najua wapo wengi watabeza na kufurahia kusimamishwa kwako maana kwao ni ushindi mkubwa kwani unahalarisha udharimu wao kwa watu wanyonge wa Wilaya ya Hai na Tanzania.

Maadui zako wanafurahia anguko lako lakini vijana wazalendo wa nchi hii wanasikitika pamoja na wewe,Wazalendo wa nchi hii tunakuamini sana na tunakuunga mkono.

Naamini kuondolewa kwako sio mwisho wa Safari ya mapambano katika kuidai haki ya mnyonge wa nchi hii.

Lengai Ole Sabaya umepita kwenye tanuru la Moto wa Mtakasaji ili kukuandaa kuwa dhababu Safi kwa ajili ya utumishi wa Taifa hili siku za usoni.

Pambania ndoto kubwa but In God's time your crown will be placed on the right place.

Cde Daniel Limbu
0752114510
Ndiyo ameshatumbuliwa sasa kama vipi andamaneni muendo Chato kushtaki kwenye kaburi la yule dhalim
 
KIBIKIMUNU

JF-Expert Member
Mar 16, 2015
331
500
Kwamba SERIKALI ILIYOMSIMAMISHA NI YA CHAMA PINZANI AU? KUNA VITU VYA KUTETEA LAKINI KWA HILI HAPANA. Naamini aliyemsimamisha yupo na taarifa za kweli kuliko yeyote yule katika taifa Hilo. Nasisi na Rais katika Hilo, uchunguzi ufanyike na ukweli ujulikane. Nalog off
 
Kapumpuli

JF-Expert Member
Aug 11, 2018
1,167
2,000
Kuna wakati historia itatuhukumu.....

Sijajua kwa nini Ole Sabaya wa JPM leo ameonekana mbaya..../
 
las Casas

JF-Expert Member
Nov 22, 2015
544
1,000
MAONI KUHUSU DC LENGAI OLE SABAYA KUSIMAMISHWA U-DC WILAYA YA HAI

Cde, Daniel Limbu
0752114510

DC LENGAI OLE SABAYA ni kijana mzalendo wa kweli kwa Taifa letu.

Tumezisikia shutuma nyingi sana kumhusu Lengai Ole Sabaya tangu akiwa M/kiti wa UVCCM Mkoa wa Arusha na bahati nzuri nimeishi naye kama kiongozi wangu kwenye Chama,nimesali naye mara nyingi sana pale Kanisa la Arusha Kati kwa muda mrefu kabla hajateuliwa kuwa hata DC.

Siku chache zilizopita nilipata fursa ya kujadiliana naye kuhusu mstakabali wa maisha yake kisiasa kabla hata hajapata kuhojiwa na Cloud TV na miongoni mwa mengi niliyomwambia ilikuwa ni kumtia moyo maana hatabaki salama kwenye nafasi yake kulingana na nadharia tunduishi ambazo zimeonekana wazi kwamba hatakiwi tena Serikalini.

Lengai Ole Sabaya ametuhumiwa kwa mengi lakini lililo kubwa zaidi ni msuli wake wa kisiasa ambao umetikisa wengi kanda ya Kaskazini Arusha na Kilimanjaro.

Huyu Sabaya alikuwa mwiba mkubwa kwa Chadema ya Mbowe wilaya ya Hai na Chadema ya Godbless Lema Arusha mjini na miongoni mwa Vijana ambao binafsi na CCM inatakiwa kujivunia kwao ni huyu Lengai Ole Sabaya.

Miongoni mwa watu waliofanikiwa kuisaidia CCM kurejesha heshima yake na kusambaratisha ngome ya Chadema Arusha na Kilimanjaro yamechangiwa na huyu jemedari wa siasa za jukwaani na kimkakati.

Lengai Ole Sabaya amesimashwa kazi si kwa sababu aliiba au kumdhulumu mtu yeyote,
Amesimamishwa kazi kwa tuhuma za kisiasa kwa sababu alivuruga maslahi ya wachache waliojitoa kuwaibia wengi wilaya ya Hai.

Binafsi sikutarajia Lengai Ole Sabaya aendelee kuwemo kwenye nafasi yake ya Ukuu wa wilaya ya Hai kwa sasa hii inatokana na aina ya serikali iliyopo kwani vijana ambao walisimamia misingi ya kuitetea nchi yetu kwa Uzalendo wao mfumo hauwahitaji tena.

Vijana aina ya Lenagai Ole Sabaya Sasa watabaki kwenye kundi la kuadhibiwa na kudharirishwa hata kama hicho wanachopitia hakikuwasitahili kwa umuhimu wao ndani ya Chama Cha Mapinduzi na Serikali yake.

Lengai Ole Sabaya amesimamia anachomiamini mpaka mwisho na ametimiza wajibu wake kwa watu wa Wilaya ya Hai na nchi yake na tuzo itatoka kwa Mungu.

Huu ni mkakati wa kufumua vijana wazalendo tishio la serikali dharimu inayoanza kujijenga nchini.

Lengai Ole Sabaya amesimamia alichokuwa anakiamini Kama ambavyo baba yake mzee Sabaya alivyotimiza wajibu wake alipokuwa Mkuu wa Wilaya ya Serengeti mkoani Mara na wakati huohuo akikaimu Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Bunda katika kipindi Cha Awamu ya tatu na Nne.

Asili ya Ujasili wa Lenagi Ole Sabaya inatokana na malezi na makuzi yake ya kizalendo ambayo alijengewa na misimamo thabiti ya familia yake.Hulka ya huyu kijana inazaa vijana wengi ambao tumeamua kuisimamia haki katika kipindi cha giza nene baada ya kifo Cha Hayati Dkt John Pombe Magufuli.

Ombi langu kwa Lengai Ole Sabaya kamwe usijione mnyonge japo maumivu ya lililokutokea ni makubwa kuliko taji na heshima uliyotakiwa kupewa kama shujaa na mzalendo kwa nchi na Taifa lako jipe moyo mapambano yaendelee.

Najua wapo wengi watabeza na kufurahia kusimamishwa kwako maana kwao ni ushindi mkubwa kwani unahalarisha udharimu wao kwa watu wanyonge wa Wilaya ya Hai na Tanzania.

Maadui zako wanafurahia anguko lako lakini vijana wazalendo wa nchi hii wanasikitika pamoja na wewe,Wazalendo wa nchi hii tunakuamini sana na tunakuunga mkono.

Naamini kuondolewa kwako sio mwisho wa Safari ya mapambano katika kuidai haki ya mnyonge wa nchi hii.

Lengai Ole Sabaya umepita kwenye tanuru la Moto wa Mtakasaji ili kukuandaa kuwa dhababu Safi kwa ajili ya utumishi wa Taifa hili siku za usoni.

Pambania ndoto kubwa but In God's time your crown will be placed on the right place.

Cde Daniel Limbu
0752114510
You're home sick
 
Ronal Reagan

JF-Expert Member
Nov 4, 2010
4,890
2,000
Kama Sabaya ni mzalendo basi legacy ya hayati Magufuli imedhihirika.
Wahalifu, majambazi, madhulumati kama Sabaya ili mradi wanaisadia CCM na kuliangamiza Taifa eti ni sawa tu kweny. Hiyo ndio legacy ya Magufuli.

Tanzania kwa somo hili la mwendezake, hatutakaa tena, kamwe kuachia hatma ya nchi yetu mikononi mwa wahuni kama Sabaya na mamlaka iliyomteua na kumlinda kipindi chote.
 
Detective J

JF-Expert Member
Oct 17, 2016
14,377
2,000
Kuna wakati historia itatuhukumu.....

Sijajua kwa nini Ole Sabaya wa JPM leo ameonekana mbaya..../
sio malaika. ana madudu yake.. JPM mwenyewe hakuwa msafi sana kiasi kwamba alitenda mema muda wote..
and so watendaji wake.
sabaya since utawala wa mzee alikuwa na dosari nyingi sana.. lakin nani wa kumfunga paka kengele?
 
mitigator

JF-Expert Member
Dec 28, 2014
5,146
2,000
MAONI KUHUSU DC LENGAI OLE SABAYA KUSIMAMISHWA U-DC WILAYA YA HAI

Cde, Daniel Limbu
0752114510

DC LENGAI OLE SABAYA ni kijana mzalendo wa kweli kwa Taifa letu.

Tumezisikia shutuma nyingi sana kumhusu Lengai Ole Sabaya tangu akiwa M/kiti wa UVCCM Mkoa wa Arusha na bahati nzuri nimeishi naye kama kiongozi wangu kwenye Chama,nimesali naye mara nyingi sana pale Kanisa la Arusha Kati kwa muda mrefu kabla hajateuliwa kuwa hata DC.

Siku chache zilizopita nilipata fursa ya kujadiliana naye kuhusu mstakabali wa maisha yake kisiasa kabla hata hajapata kuhojiwa na Cloud TV na miongoni mwa mengi niliyomwambia ilikuwa ni kumtia moyo maana hatabaki salama kwenye nafasi yake kulingana na nadharia tunduishi ambazo zimeonekana wazi kwamba hatakiwi tena Serikalini.

Lengai Ole Sabaya ametuhumiwa kwa mengi lakini lililo kubwa zaidi ni msuli wake wa kisiasa ambao umetikisa wengi kanda ya Kaskazini Arusha na Kilimanjaro.

Huyu Sabaya alikuwa mwiba mkubwa kwa Chadema ya Mbowe wilaya ya Hai na Chadema ya Godbless Lema Arusha mjini na miongoni mwa Vijana ambao binafsi na CCM inatakiwa kujivunia kwao ni huyu Lengai Ole Sabaya.

Miongoni mwa watu waliofanikiwa kuisaidia CCM kurejesha heshima yake na kusambaratisha ngome ya Chadema Arusha na Kilimanjaro yamechangiwa na huyu jemedari wa siasa za jukwaani na kimkakati.

Lengai Ole Sabaya amesimashwa kazi si kwa sababu aliiba au kumdhulumu mtu yeyote,
Amesimamishwa kazi kwa tuhuma za kisiasa kwa sababu alivuruga maslahi ya wachache waliojitoa kuwaibia wengi wilaya ya Hai.

Binafsi sikutarajia Lengai Ole Sabaya aendelee kuwemo kwenye nafasi yake ya Ukuu wa wilaya ya Hai kwa sasa hii inatokana na aina ya serikali iliyopo kwani vijana ambao walisimamia misingi ya kuitetea nchi yetu kwa Uzalendo wao mfumo hauwahitaji tena.

Vijana aina ya Lenagai Ole Sabaya Sasa watabaki kwenye kundi la kuadhibiwa na kudharirishwa hata kama hicho wanachopitia hakikuwasitahili kwa umuhimu wao ndani ya Chama Cha Mapinduzi na Serikali yake.

Lengai Ole Sabaya amesimamia anachomiamini mpaka mwisho na ametimiza wajibu wake kwa watu wa Wilaya ya Hai na nchi yake na tuzo itatoka kwa Mungu.

Huu ni mkakati wa kufumua vijana wazalendo tishio la serikali dharimu inayoanza kujijenga nchini.

Lengai Ole Sabaya amesimamia alichokuwa anakiamini Kama ambavyo baba yake mzee Sabaya alivyotimiza wajibu wake alipokuwa Mkuu wa Wilaya ya Serengeti mkoani Mara na wakati huohuo akikaimu Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Bunda katika kipindi Cha Awamu ya tatu na Nne.

Asili ya Ujasili wa Lenagi Ole Sabaya inatokana na malezi na makuzi yake ya kizalendo ambayo alijengewa na misimamo thabiti ya familia yake.Hulka ya huyu kijana inazaa vijana wengi ambao tumeamua kuisimamia haki katika kipindi cha giza nene baada ya kifo Cha Hayati Dkt John Pombe Magufuli.

Ombi langu kwa Lengai Ole Sabaya kamwe usijione mnyonge japo maumivu ya lililokutokea ni makubwa kuliko taji na heshima uliyotakiwa kupewa kama shujaa na mzalendo kwa nchi na Taifa lako jipe moyo mapambano yaendelee.

Najua wapo wengi watabeza na kufurahia kusimamishwa kwako maana kwao ni ushindi mkubwa kwani unahalarisha udharimu wao kwa watu wanyonge wa Wilaya ya Hai na Tanzania.

Maadui zako wanafurahia anguko lako lakini vijana wazalendo wa nchi hii wanasikitika pamoja na wewe,Wazalendo wa nchi hii tunakuamini sana na tunakuunga mkono.

Naamini kuondolewa kwako sio mwisho wa Safari ya mapambano katika kuidai haki ya mnyonge wa nchi hii.

Lengai Ole Sabaya umepita kwenye tanuru la Moto wa Mtakasaji ili kukuandaa kuwa dhababu Safi kwa ajili ya utumishi wa Taifa hili siku za usoni.

Pambania ndoto kubwa but In God's time your crown will be placed on the right place.

Cde Daniel Limbu
0752114510
Its too late haikusaidii ndugu jambazi,subiri report ya uchunguzi
 
Pakawa

JF-Expert Member
Mar 11, 2009
6,847

Rubbish
 
Kinoamiguu

JF-Expert Member
Nov 29, 2018
5,678

Wewe ni mpumbavu sana
 
FATHER OF HISTORY

JF-Expert Member
Aug 15, 2012
738

Kwahiyo rais achekee majambazi Kama Sabaya? Sabaya ni MTU aliyeaaminiwa na serikali lakini aliamua kufanya kazi kwakutofuata maadili yeye mwenyewe.
Aliamua kuwa mungu MTU,mtesaji,mkiukaji wa haki za binamu,mwonevu,nk ulitaka rais afanyaje labda.
Acha kumpangia rais cha kufanya,nchi yenye watu zaidi ya mil.55 atapatikana tu mzalendo mwingine
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom