Sikusema nae...

Sikusema nae...

kwa nini ulipomuona hukusema nae?
Mwizi siku zote huwa anakana kuiba hadi umkamate na mali ya wizi mkononi!
Je unasubiria umkute huyo jamaa anajivinjari nae kunako 6x6 ndio umsemeshe au ufanye uamuzi wa nini hatma ya uhusiano wenu?
Kama hujamuoa keshakuonyesha picha, je unadhani ukumuoa ndio atatulia?
Kaka, kama kusoma hujui hata picha huoni?!
Kila la kheri!
sikutaka kusema nae as niliona yaweza kujaza watu na ikawa aibu kwangu mimi na yeye hivo nilitumia ustaarabu tu kutosema nae pia mi si mtu wa mazogo.
 
Nashukuru kwa ushauri wenu wana jf,wengi mmenishauri nichukue uamuzi mgumu wa kuachana nae na nitafute mwingine;je hao wengine hawawez kua kama huyo?
 
Heshima kwenu wana MMU
Hakika mapenzi ni mchezo mtamu sana hasa pale inapotokea wawili walioshibana haswaaaa.Nilimpenda sana Mpenzi wangu H,na mimi niliamini ananipenda kama nilivyompenda hii ni kutokana na maneno yake matamu na mambo mengi aliyonifanyia kama mpenzi wake.Hata siku moja sikuwahi kufikiria kama angekuja kunisaliti na kutoka na bwana mwingine.Stori nzima ipo hivii.rafiki zangu zangu pamoja na watu wengine walionifahamu mara kwa mara walikuwa wakiniambia juu ya usaliti anaonifanyia mpenzi wangu H,sikutaka kuaminio maneno yao kwani niliamini mpenzi wangu ananipenda kwa dhati.Sikuy moja nilishuhudia kwa macho yangu mwenyerwe kwenye maeneo fulani mpenzi wangu AKIPIGWA DENDA HUKU AKISHIKWA SEHEMU MBALIMBALI ZA MWILI WAKE na jamaa mmoja niliyemfahamu.Moyo wangu uliumia sana na WALA SIKUSEMA NAYE lolote wakati ule mpaka alipokuja home,niliuuliza juu ya maneno yanayasemwa na watu juu ya tabia zake lakini alibisha akisisitiza niko peke yangu na kamwe hawez kunisaliti.Nikamweleza juu ya tukio nililolishuhhudia mi mwenyewe lakini akakana kwa vile tu SIKUSEMA NAE NILIPOMUONA AKIFANYA UCHAFU WAKE.
Naomba wana JF/MMU MNISHAURI NIFANYE NINI AU NICHUKUE UAMUZI GANI juu ya huyu mpenzi wangu ambaye nilipanga kuoana nae muda si mrefu?


Ishu ni kuwa umeshuhudia kwa macho yako mpenzio akikusaliti, sasa swali la kujiuliza kabla ya kuamua kufunga naye ndoa ni hili: Uko tayari kuendelea kuumizwa kwa kusalitiwa na mpenzi hata baada ya kufunga ndoa? Kama jibu ni NO fanya maamuzi magumu mapema, na kama jibu ni YES, at your own risk, go ahead!
 
Heshima kwenu wana MMU
Hakika mapenzi ni mchezo mtamu sana hasa pale inapotokea wawili walioshibana haswaaaa.Nilimpenda sana Mpenzi wangu H,na mimi niliamini ananipenda kama nilivyompenda hii ni kutokana na maneno yake matamu na mambo mengi aliyonifanyia kama mpenzi wake.Hata siku moja sikuwahi kufikiria kama angekuja kunisaliti na kutoka na bwana mwingine.Stori nzima ipo hivii.rafiki zangu zangu pamoja na watu wengine walionifahamu mara kwa mara walikuwa wakiniambia juu ya usaliti anaonifanyia mpenzi wangu H,sikutaka kuaminio maneno yao kwani niliamini mpenzi wangu ananipenda kwa dhati.Sikuy moja nilishuhudia kwa macho yangu mwenyerwe kwenye maeneo fulani mpenzi wangu AKIPIGWA DENDA HUKU AKISHIKWA SEHEMU MBALIMBALI ZA MWILI WAKE na jamaa mmoja niliyemfahamu.Moyo wangu uliumia sana na WALA SIKUSEMA NAYE lolote wakati ule mpaka alipokuja home,niliuuliza juu ya maneno yanayasemwa na watu juu ya tabia zake lakini alibisha akisisitiza niko peke yangu na kamwe hawez kunisaliti.Nikamweleza juu ya tukio nililolishuhhudia mi mwenyewe lakini akakana kwa vile tu SIKUSEMA NAE NILIPOMUONA AKIFANYA UCHAFU WAKE.
Naomba wana JF/MMU MNISHAURI NIFANYE NINI AU NICHUKUE UAMUZI GANI juu ya huyu mpenzi wangu ambaye nilipanga kuoana nae muda si mrefu?



Wewe ulitaka kufanya nini zaidi ya kuachana naye tu???????
 
Kaka,,ukicheka na mkeo hutazaa nae!!
Mwambie ukweli wako,ukisema usiachane nae kwa sababu hao wengine watakuwa kama yeye basi ATAJUA UNAMPENDA na kama akijua hilo,,jiandae kuumia zaidi maana kupitia udhaifu huu,atafanya atakalo kwani unampenda.
Jingine,jiandae kuachwa ukiwa wa kwanza ili maumivu yaongezeke.
Wasaidie wengine kuhudumia,kutunza na kung'arisha wakija wale ili ujifunze kuwa Lisemwalo lipo kama halipo liko njiani laja.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom