Gift mzalendo
JF-Expert Member
- Dec 13, 2019
- 1,009
- 1,178
Hapa umepotoka mkuu ,hakumfuatilia Makonda binafsi ,bali Makonda kama mtumishi wa umma,Naunga mkono hoja, tena kwa mwanamume mzima rijali, kufuatilia mali binafsi za mwanamume mwingine, ni umbea wa kike!.
P.
Au walioweka sheria ya maadili
walikuwa wanapenda umbea
Najua unafahamu umuhimu wa hiyo sheria ila makusudi unapotosha