Sikukuu zinapokaribia

Wauza chipsi wengi tu hununua pia na kuku waliokufa wanamiksi na wale wazima....hatareeee.
 
Hata siku moja siagizi chips kuku, maana niliona custom jetty jamaa kapewa kuku kafa akatupe kakata kona ya kwanza ya pili anamuomba muuza machungwa kisu ati amuwahi, mkono mmoja kamkumbatia wa pili kanyanyua kichwa cha kuku huku anasema "nipeni kisu jamani nimuwahi" alipoulizwa umuwahi nini wakati kafa huyoooo akaondoka kurudi anasema kisha muuza kwa wauza chips. Tokea hapo siwaamini hawa wauza chips kuku
 

Kuku wengi wa dar ni vibudu watu hawajui tuu...! Has a wale wanaouzwa kwenye vibanda vya chips, kwenye mabar na mahotel na wanaouzwa njiani nyakati za jioni
 
Kuku wengi wa dar ni vibudu watu hawajui tuu...! Has a wale wanaouzwa kwenye vibanda vya chips, kwenye mabar na mahotel na wanaouzwa njiani nyakati za jioni

Yaani nilimuuliza jamaa hivi hawa kuku unaotuletea nani anachinja akajibu yeye na msaidizi wake, akasema anaangalia mbele halafu anasema alamndu lilai mkuu mtani wako huyo yeye anasali Jumapili. Sina hamu mkuu uroho wote wa kuku hapo nimesalimu amri
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…