Sikukuu ya Mwaka mpya 2016 imekosa msisimko kabisa

Sikukuu ya Mwaka mpya 2016 imekosa msisimko kabisa

Majibu yamekamuliwa sahv nimaumivu tu nini sherehe wakati unamaumivuu??
 
Hata vurugu vurugu hazikuwepo kabisa. Huku kwetu polisi walizunguka kufanya doria, walipoona hakuna hata anayechoma matairi wakaanza kufyatua mabomu yao juu kama fataki kushangilia. Ilipendeza sana.
 
Back
Top Bottom