mozambique
Senior Member
- Jan 2, 2014
- 101
- 15
Heshima iende kwa mtu mweusi popote duniani, aliyejitolea uhai wake kwa amani, ustawi na heshima ya mweusi mwenzake.
Nikiwatakia kumbukumbu njema ya mashujaa wetu.
Salaam.
nawatakia sherehe njema.endeleeni kudumisha amani juzi juzi nilisikia mnataka kuanza kupigana hebu acheni.
Ni kweli kabisa kaka,ingawa shuleni tunafundishwa kuhusu historia ya frelimo ya kwamba ilizaliwa tz,lkn walio wengi hawalijui hilo,hivi sasa Kuna vuguvugu la urais mwaka huu ambapo majina matatu ya watakaogombania urais hawajapitia tz,sasa wale ambao wamepigana vita wanapinga suala hilo wanataka mgombea lazima awe kapitia tz.Kinachonisikitisha ni kwamba vijana wa Mozambique hawaijui hata Tanzania. Hawajui Dar es salaam iko wapi! Kuna haja ya viongozi wa nchi hiyo kuwafundisha vijana wao historia ya ukombozi wa nchi yao na kuwaeleza kwamba watanzania wengi walitoa uhai wao na mali zao kwa ajili ya ukombozi.
Vp mtapasua mawe?
Gebuza ni nyanga'au kabisa. Yeye anachofikiria ni kujilimbikizia mali tu. Hana habari na amani wala mstakabali wa nchi.
Heshima kwenu ndg zangu
que coisa mais linda,afinal de conta voce eh mocambicano? Na verdade ontem foi um dia maravilhoso Para o povo mocambicano,vimos os nossos herois que sacrificaram a propria Vida,tenho orgulho de ser mocambicano.Somos Uma patria de herois porque temos honra e valorizamos a honra,hoje honramos homens e mulheres Para consentiram sacrificio a propria Vida,homens que se empenharam na busca da dignidade Para todos os mocambicanos,eh obrigacao de todo cidadao a indicar quem deve ser condecorado. Proclamamos perante qualquer desafio: o Partia vamos vencer. Feliz 03 de fevereiro,um abraco do teu General.
Viva frelimo.
Viva mocambique.
Viva Africa.
A luta contra pobresa continua.
Nalog off
que coisa mais linda,afinal de conta voce eh mocambicano? Na verdade ontem foi um dia maravilhoso Para o povo mocambicano,vimos os nossos herois que sacrificaram a propria Vida,tenho orgulho de ser mocambicano.
Aquele abraco.
Viva frelimo
Viva mocambique
salve Africa..
A luta contra pobresa continua
Ni kweli kabisa kaka afrika ni moja ILA wazungu wameigawa bila kutushirikisha,katika jimbo la cabo Delgado kiswahili tunakiongea.Nimefarijika sana unakijua kiswahili barabara.
Binadamu wote ni ndugu zangu na Afrika ni moja. Viva Frelimo. viva Samora. Viva Msumbiji. Nakumbuka jina Lorenzo Marquiz!?
Sio uwezo wa utawala - bali kuptia TZ - nadhani hiki kigezo hakina maana. Msumbiji imeishakuwa huru na wale waliopigana mchango wao hautasahaulika lakini nchi lazima isonge mbele na inataka kingozi smart hasa kwa mambo ya uchumiNi kweli kabisa kaka,ingawa shuleni tunafundishwa kuhusu historia ya frelimo ya kwamba ilizaliwa tz,lkn walio wengi hawalijui hilo,hivi sasa Kuna vuguvugu la urais mwaka huu ambapo majina matatu ya watakaogombania urais hawajapitia tz,sasa wale ambao wamepigana vita wanapinga suala hilo wanataka mgombea lazima awe kapitia tz.