Sikujua kama hii ishu ni ya serious!!?

Ze Blessed

Senior Member
Aug 12, 2012
123
13
Jamani kumbe kufanyika kwa mitihani ya kidato cha 6 mwaka 2013 mwezi wa 5, ni serious issue. Sijajua ni nini sababu hasa ya kufanya hivi? Kwa anaefahamu atufahamishe na je kuna umuhimu wowote? Source: mdogo wangu kutoka usagara tanga.
 
nimezipata hizo taarifa na nasikia kulikuwa kuna hadi bandiko katika tovuti ya wizara ya Elimu ila badae lilitolewa
 
waraka umetolewa na wizara na utaanza kutumika rasmi january 2013
 
jamani kumbe kufanyika kwa mitihani ya kidato cha 6 mwaka 2013 mwezi wa 5, ni serious issue. Sijajua ni nini sababu hasa ya kufanya hivi? Kwa anaefahamu atufahamishe na je kuna umuhimu wowote? Source: Mdogo wangu kutoka usagara tanga.

nadhani ukienda kuuliza baraza la mitihani na wizara ya elimu watakuwa na majibu mazuri sana kwanii hii issue haiko kwa paublic babdo sasa sijui mnazipata wapi maaana daaaaaaaah
 
nadhani ukienda kuuliza baraza la mitihani na wizara ya elimu watakuwa na majibu mazuri sana kwanii hii issue haiko kwa paublic babdo sasa sijui mnazipata wapi maaana daaaaaaaah

kuna mdogo wangu yupo usagara wamepewa hzi taarfa na mkuu wao wa shule.
 
Tafuta uzi ufuatao:-
"Serikali yarekebisha MIHULA ya
Shule za Sekondari na Vyuo vya
Ualimu"
 
Back
Top Bottom