Sikuja nyumbani kupambana na maskini nimekuja kupambana na umaskini - Dr Tibaijuka

Jioni hii live tbc waziri tibajuka anena kiprofesa.

Maneno ya nguvu kuwa

"hakuja nyumbani kutoka un ili aje kupambana na maskini bali kaja kupambana na umaskini"

huyo mama hana jipya migogoro ya aridhi imemshnda hizo siasa zake apeleke muleba kwao huko! Hajaanza leo kutudanganya.. Migogoro ikwiriri watu wamekufa na kupoteza mali zao.. Na arumeru bado tu
 
watu wamezurumiwa viwanja mbezi kule, bungu mabwepande, kinyerezi, kifuru watu wanauziwa viwanja mara tatu tatu.. Yeye anashangaa shangaa bungeni.. Haya maeneo mengine yamepimwa lakini aliowaweka wasimamie ni washenzi tu wanajiuzie na kutudalia
 
watu wamezurumiwa viwanja mbezi kule, bunju mabwepande, kinyerezi, kifuru watu wanauziwa viwanja mara tatu tatu.. Yeye anashangaa shangaa bungeni.. Haya maeneo mengine yamepimwa lakini aliowaweka wasimamie ni washenzi tu wanajiuzie na kutudalia
 
Hata yule jamaa wa msoga alianza hivyo hivyo ...mara ooh "Maisha bora kwa kila mtanzania..mara ari mpya, kasi mpya.. mara sijui nini" ...mwishowe wengi tukaingia mkenge na jamaa akajizolea ushindi wa kishindo. Matokeo yake kila mtu sasa anajuta.

Ha ha haa, mkuu umenifurahisha sana, manake huyu baba riz 1 watu waliingia mkenge balaa! Bora hata Ben!
 
watu wamezurumiwa viwanja mbezi kule, bungu mabwepande, kinyerezi, kifuru watu wanauziwa viwanja mara tatu tatu.. Yeye anashangaa shangaa bungeni.. Haya maeneo mengine yamepimwa lakini aliowaweka wasimamie ni washenzi tu wanajiuzie na kutudalia

Mimi simpi tano huyu mama, manake kigamboni wamepima viwanja wamejiuzia wenyewe, lakini waathirika wa mji mpya hakuna hata mmoja ambae amepewa kiwanja! Watu wa Manispaa kawashindwa kabisa kusimamia issue ya upimaji na ugawaji viwanja matokeo yake miji holela inaongezeka tu. Satellite Cities za Boko/Bunju na Makongo juu zimemshinda, sasa hivi anakimbilia kigamboni.
Mi naona bado nae anahubiri theories za vitabuni!
 
Sidhani kama mtu yupo ccm na anaisapoti ccm alafu atuambie eti anakabiliana na umasikini angali hakuna hatua zozote zinazochukuliwa dhidi ya wezi wa mali za uma angali uthibitisho ukiwa wazi kabisa
 
Back
Top Bottom