Leo nimekutana na jirani yangu wa zamani na tulikuwa marafiki pia yeye na mume wake!
Baada ya kujuliana hali alinijulisha kuwa waliachana na mume wake miezi 9 iliyopita!
Inasikitisha ...ila kilichoniuma ni kauli aliyotumia mume wake kuwa ameamua kmwacha kwa kuwa anataka mwanamke mzuri wa hadhi yake!
Ili kuthibitisha hilo akamwambia mke wake kuwa ana miguu mibaya na ni bahati mbaya hakuiona wakati ule amempenda!
Jamani udhalilishaji huu!
Kila shetani na mbuyu wake.kila mwanaume anacho kinachomvutia kwa mwanamke,na sio wote wanaoangalia miguu peke yake.sa wenye miguu mibaya hawana haki ya kuolewa, hahahahaha huyo mwanaume suruali tu
Mwanzoni yalikuwa mapenzi, sasa yamebaki mazoea.ndiyo akaona akague na miguu.aiseeee kweli kipenda roho. ina maana siku zote wameanza uchumba hadi kufikia kuoana hakuiona hiyo miguu? hapa kuna sababu zaidi ya hiyo.
nawapa pole.Kila shetani na mbuyu wake.kila mwanaume anacho kinachomvutia kwa mwanamke,na sio wote wanaoangalia miguu peke yake.
Unajua, siku hizi vijana badala ya kuoa kwa ajili ya kufurahisha nafsi zao, kitu kingine wanachoangalia ni "watu watasemaje wakimuona mwanamke huyu ninaye muoa".na hii ndiyo inayogharimu vijana wengi.wanaoa,sio kwa ajili ya nafsi yao, ila kuonyesha watu wengine.
Matokeo yake, anaacha mke ndani, anaenda kuburudika na kile nafsi inapenda.Mke anabaki kuwa pambo la nyumba.
sa wenye miguu mibaya hawana haki ya kuolewa, hahahahaha huyo mwanaume suruali tu
Leo nimekutana na jirani yangu wa zamani na tulikuwa marafiki pia yeye na mume wake!
Baada ya kujuliana hali alinijulisha kuwa waliachana na mume wake miezi 9 iliyopita!
Inasikitisha ...ila kilichoniuma ni kauli aliyotumia mume wake kuwa ameamua kmwacha kwa kuwa anataka mwanamke mzuri wa hadhi yake!
Ili kuthibitisha hilo akamwambia mke wake kuwa ana miguu mibaya na ni bahati mbaya hakuiona wakati ule amempenda!
Jamani udhalilishaji huu!
hayatuhusu
teh teh ole wenu mtuseme wachaga na miguu yetu lol
hehehe!!wewe ulikuwa unataka kusema Wachaga ila umejikausha tutehe tehe atakuwa alioa mpare huyo kwani si wajua wanapanda milima sana so miguu kiasi flani inakuwa na vigimbi na kupoteza mvuto wa mguu wa mtoto wa kike,kitu totozi za kimakonde bana