Crucial Man
JF-Expert Member
- Jan 11, 2011
- 3,404
- 1,307
Haya shule imefungwa na walio kutuma, sasa nani a naonekana fala Kati yako na mbowe
Aibu kwakeShule Imefungwa Kama Mbowe Alivyoshauri !
serikali imeshakubali wazo lake! Sema lingineNimemsikia Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe akiongea kupitia ITV kwenye Taarifa ya Habari ya Saa mbili usiku huu. Tatizo la Mbowe amejawa na jazba za kisiasa huku asichukue muda na kutafakari zaidi madhara ya hicho anachokifikiria. Kama kawaida yake alisukumwa zaidi na utashi wa kisiasa badala ya kuangalia hali halisi ya wakati huu.
Tukio hili limetokea katika kipindi ambacho tumebakiwa na muda mfupi tu kabla ya wanafunzi wa Kidato cha Pili na cha Nne wafanye mitihani yao. Je Mbowe ametafakari madhara yanayoweza kutokea endapo wazo lake litafanyiwa kazi? Na kama shule itafungwa, je amependekeza nini hatua ya kuchukua kuwanusuru watahiniwa hao? Hii tabia ya wanasiasa kulalamika tu na kumlaumu mtu pindi majanga yanapojitokeza hakika ni kufilisika kisiasa
Na je vipi kuhusu wale wananchi waliovunjiwa nyumba zao? Tunapaswa kufikiri kabla ya kusema vinginevyo kujitafutia umaarufu wa kisiasa kwenye majanga hakika tunajidhalilisha
Nimemsikia Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe akiongea kupitia ITV kwenye Taarifa ya Habari ya Saa mbili usiku huu. Tatizo la Mbowe amejawa na jazba za kisiasa huku asichukue muda na kutafakari zaidi madhara ya hicho anachokifikiria. Kama kawaida yake alisukumwa zaidi na utashi wa kisiasa badala ya kuangalia hali halisi ya wakati huu.

Huyu Lizaboni sijuh huwa ana akili gani. Vitu vingine mnaudhi kabisa. Hv hujui hata madhara ya kusomea katika madarasa yenye nyufa? Au kwa kuwa huko unalipwa buku 7? Au kisa wazo limetolewa na Mbowe. Vitu vingne havihitaji kuweka ukada mbele. Hv mmesoma shule gani nyie na mmefundshwa na walimu wap hawa?
Haya sasa shule imefungwa njoo na topic ya kuipongeza serikali maana ni kawaida yenu.
Tanzania haiwez kupata maendeleo kwa kuendekeza unafiki.
HIVI HUYU LIZABONI ANA GUNDU GANI? MBONA HAPEWI UKK WA WILAYA?
Yaani kuna watu wana akili za ovyo mpaka unajiulza huyu ni mtu ama ni mdudu gani.Lizaboni is a psychiatric case, kuzoea nguo za bure za kijani na njano na kofia kumemvuruga akili, kila wazo la mpinzani ni haramu, he cant think straight!
Hivi wewe ni dada yake Lizibon au ni mke wake? Samahani lakini hii ni kutokana na kila ukilaza anaouonyesha Lizibon wewe unamsupport. Mbona hiyo shule tiyari nimeishafungwa kwa muda wa wiki mbili? Sasa nani hapo ameonekana kuwa na mihemko Kati ya Mbowe na Lizibon.Mbowe anasikitisha sana
Wewe ni wa kupuuzwa.Nimemsikia Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe akiongea kupitia ITV kwenye Taarifa ya Habari ya Saa mbili usiku huu. Tatizo la Mbowe amejawa na jazba za kisiasa huku asichukue muda na kutafakari zaidi madhara ya hicho anachokifikiria. Kama kawaida yake alisukumwa zaidi na utashi wa kisiasa badala ya kuangalia hali halisi ya wakati huu.
Tukio hili limetokea katika kipindi ambacho tumebakiwa na muda mfupi tu kabla ya wanafunzi wa Kidato cha Pili na cha Nne wafanye mitihani yao. Je Mbowe ametafakari madhara yanayoweza kutokea endapo wazo lake litafanyiwa kazi? Na kama shule itafungwa, je amependekeza nini hatua ya kuchukua kuwanusuru watahiniwa hao? Hii tabia ya wanasiasa kulalamika tu na kumlaumu mtu pindi majanga yanapojitokeza hakika ni kufilisika kisiasa
Na je vipi kuhusu wale wananchi waliovunjiwa nyumba zao? Tunapaswa kufikiri kabla ya kusema vinginevyo kujitafutia umaarufu wa kisiasa kwenye majanga hakika tunajidhalilisha
'Alienda shule kusoma ujinga' by Faiza FoxyHuyu Lizaboni sijuh huwa ana akili gani. Vitu vingine mnaudhi kabisa. Hv hujui hata madhara ya kusomea katika madarasa yenye nyufa? Au kwa kuwa huko unalipwa buku 7? Au kisa wazo limetolewa na Mbowe. Vitu vingne havihitaji kuweka ukada mbele. Hv mmesoma shule gani nyie na mmefundshwa na walimu wap hawa?