Sikuamini kama waarabu wapi hivi

Wakiumeni mnaongoza kwa kutia aibu hapa jf.
Hawa ni madogo waliofeli form 4.
Sasa wenzao walishareport Advance wako kitaa hawana cha kufanya ndo maana wanapost hivi..
Wakikua wataacha mambo ya ajabu
 
Elezea kwa undani huyo dada kuna kitu alikufanya ila unakua mzito kufunguka
 
Ina maana umebalehe Shule ya msingi hujamaliza, laiti unge maliza bado huja balehe ungeelewa
 
upo form ngapi?
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] imebidi nikucheke
 
Siku ya kwanza kutafuna mzigo wazungu walivotaka kutoka nikachomoa maana nilijua n mkojo
 
hahaha hivi form four bado hawajamaliza shule eeh!?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…