ulitaka awe na wake wangapi?
Yaani hio inaitwa "live for the moment" aka speak now or forever hold your peace. Hapo hawaziii gari likitokea itakuwaje wala baba wa binti, achia mbali kama ana kaka mnoko. Anakomaa na kitu roho inatamani:A S wink:Najaribu kupata picha hapo kwenye kona mara linatokea Gari kwa kasi ya ajabu sijui itakuwaje maskini
ayayayaaaaa!!! mkuu niko chini ya kiatu aisee.. kama tatizo ni kale ka-vitz ntakatoa bila transport cost wala TRA charges!!
pleaaaaaase!! dont! nimekalia kuti kavu aiseee!!
ewaaah! sasa, FOB, EX WORKS , insurance costs na vitu vingine vyote vya kale ka vitz, niachie..!
nani ataongea sasa! nasubiri wa kuongea niaone kama hata kibajaji chake kitapata leseni!
hahaaa!!
utafiti ataongea maana anamdomo huyo kama binti yake miss chagga
utafiti ataongea maana anamdomo huyo kama binti yake miss chagga
utafiti ataongea maana anamdomo huyo kama binti yake miss chagga
wewe utukome tena ukomae maswala ya kumchokoza baba yangu sitaki
babake, waambie kuwa mjini midomo haina kazi... kazi ipo kwenye wallet!
cc.. utafiti na bintiye, miss chagga!
mkicheza tu....
Lady niece wananisema tuu mimi ni mtulivu sana nawala si muongeaji sasa wanatake advantage bana