Sikuachana nae vizuri

Sikuachana nae vizuri

We dogo wanawake mamilioni wako duniani why unadeal na mmoja tu? Ina maana hukuwa na emergence parking aka spare tyre? Vijana wa siku izi bure kbs, mwanaume hajipingi. Mimi niliachana na she wangu after 8 yrs of serious bond na toka niachane nae sijawahi msaka for good..acha uzombie wewe

duh 8 yrs... mlishakua ndugu nyie.. hivi wewe ukipata dem mwngne kwel utampenda?
 
naboeka hum hakuma button ya LIKE jmn... admin pliiiiiiiz... we acha tabia za kikuma embu tchaaaaaaa. unataka ukakute dume mwenzio chumban kwako naona wewe
 
Dah! We jamaa wewe tatizo unaumia sababu ulikimbilia huyu mtoto kwa pupa hata humjui madai yako eti unamkomoa flani. Na pete juu, kumbe mwenzako Hall 3 sijui seven ana mtu. Skiliza nikwambie hata siku moja usianzishe mapenzi eti kumkomoa flani na status Facebook mnaweka in relationship with haya sasa. Alafu ulimzushia sana yule dada wa watu akakusamehe umeona karma anavyokurudia kumbe inauma kusingiziwa eenh!
 
ni kawaida sanah kumkumbuka na 7bu mazoea yalikuwepo lazma utammiss sanah till umsahau.....
Haya mambo ya kumiss miss maex hata sio ishu
si nzuri kwa afya ya mahusiano yaliyopo
sipendi hata kuwawaza maex mie
 
Nilikuwa na uhusiano na mpenzi wangu kwa muda wa miaka 2 lakini niliachana nae baada ya kugundua ananisaliti baada ya yeye kukiri kunisaliti kiukweli niliumia sana ila niliamua kumwacha maana alionyesha kuendelea na jamaa ingawa baada ya miezi 2 waliachana.Katika uhusiano wetu nilishamvisha pete ya uchumba na kwao walikuwa wananifahamu,kibaya wakati tunaachana nilimtumia meseji nikimwambia yeye ni malaya na hii ilitokana na hasira za kuumizwa na kiukweli najifahamu sio mtu wa matusi.Alichofanya ni kumwonyesha mama yake na ndugu zake kuwa ameachana na mimi kutokana na mimi kumtukana kila siku na kwao nikaonekana sio mstarabu,mama yake alinilaumu na hakuamini lolote nililomwambia.Tangu siku hiyo sikumtafuta na yeye hajanitafuta na sasa ni miezi 3 imepita hatujawasiliana na mimi sioni kama ni ustarabu lakini sitaki kumtafuta maana ataona najishusha sana kwake ila kibaya namkumbuka sana,naombeni ushauri wenu maana nishamzoea sana

Malaya ni Malaya tu. Move on. Tafuta mwanamke mwingine. Achana nae.
 
Ungekuw karibu ninge kutia mabanzi uache ujinga wako kwan! Uyo mwanamke ni mama yako toa ufala hapo find another1 km uwezi sema nikupe coz ninao kibao!
 
naboeka hum hakuma button ya LIKE jmn... admin pliiiiiiiz... we acha tabia za kikuma embu tchaaaaaaa. unataka ukakute dume mwenzio chumban kwako naona wewe

Jaman sa matusi tena yanini kwanini mnatudhalilisha wanawake hivyo kwann hamtaji viungo vyenu mnavisema wakati ndio vimewaleta duniani mnapata wapi ujasiri huo... sipendi sana watu wa aina hii!!!
 
Jaman sa matusi tena yanini kwanini mnatudhalilisha wanawake hivyo kwann hamtaji viungo vyenu mnavisema wakati ndio vimewaleta duniani mnapata wapi ujasiri huo... sipendi sana watu wa aina hii!!!
oops sorry i withdraw my bad words.
 
Back
Top Bottom