Sikuachana nae vizuri

Sikuachana nae vizuri

Huyu anschotafutwa kuchunwa hakuna kingine.
Yaani umepotezewa miez miwili bila kutafutwa then unatakaje? Eti uachane nae vzr ili iweje? Aliyekwambua kuna kuachana vzr nani?
Mtafute ila ucje unalia hapa

habar yako mkuu
 
Jamaa anajitoa mhanga kabisa,apa nahis uzoba unahucka m nackiaga tu mtu amfuma live mpenz wke akigegedwa afu kesho yake et wako pamoja hadharan mabusu na i love u kibaooo,nahis mioyo ya chuma n kwel ipo

Chezea mahaba wewe!!!!
 
Nilikuwa na uhusiano na mpenzi wangu kwa muda wa miaka 2 lakini niliachana nae baada ya kugundua ananisaliti baada ya yeye kukiri kunisaliti kiukweli niliumia sana ila niliamua kumwacha maana alionyesha kuendelea na jamaa ingawa baada ya miezi 2 waliachana.Katika uhusiano wetu nilishamvisha pete ya uchumba na kwao walikuwa wananifahamu,kibaya wakati tunaachana nilimtumia meseji nikimwambia yeye ni malaya na hii ilitokana na hasira za kuumizwa na kiukweli najifahamu sio mtu wa matusi.Alichofanya ni kumwonyesha mama yake na ndugu zake kuwa ameachana na mimi kutokana na mimi kumtukana kila siku na kwao nikaonekana sio mstarabu,mama yake alinilaumu na hakuamini lolote nililomwambia.Tangu siku hiyo sikumtafuta na yeye hajanitafuta na sasa ni miezi 3 imepita hatujawasiliana na mimi sioni kama ni ustarabu lakini sitaki kumtafuta maana ataona najishusha sana kwake ila kibaya namkumbuka sana,naombeni ushauri wenu maana nishamzoea sana

Fanya yote usije fanya kosa la kumrudia,huyo mwanamke hakupendi 100% yaani umemtumia msg hata majadiliano hakuna break ya kwanza kukuchafua kwa wakwe, huyo siyo wife material kama ni tabia yake hata akiwa ndani kosa kidogo kimya kimya kushitaki kwa wakwe, tena ushukuru ameonyesha hizo tabia mapema, kimbia.
 
Kama unampenda mtafute. Ila kubali kuwa mtumwa kwenye hayo mapenzi
 
Nilikuwa na uhusiano na mpenzi wangu kwa muda wa miaka 2 lakini niliachana nae baada ya kugundua ananisaliti baada ya yeye kukiri kunisaliti kiukweli niliumia sana ila niliamua kumwacha maana alionyesha kuendelea na jamaa ingawa baada ya miezi 2 waliachana.Katika uhusiano wetu nilishamvisha pete ya uchumba na kwao walikuwa wananifahamu,kibaya wakati tunaachana nilimtumia meseji nikimwambia yeye ni malaya na hii ilitokana na hasira za kuumizwa na kiukweli najifahamu sio mtu wa matusi.Alichofanya ni kumwonyesha mama yake na ndugu zake kuwa ameachana na mimi kutokana na mimi kumtukana kila siku na kwao nikaonekana sio mstarabu,mama yake alinilaumu na hakuamini lolote nililomwambia.Tangu siku hiyo sikumtafuta na yeye hajanitafuta na sasa ni miezi 3 imepita hatujawasiliana na mimi sioni kama ni ustarabu lakini sitaki kumtafuta maana ataona najishusha sana kwake ila kibaya namkumbuka sana,naombeni ushauri wenu maana nishamzoea sana

Naona kama kuna dalili zakuwa umepigwa limbwata.
 
Natamani mbwiga ka huyu,akirudi anachunwa kama buzi la shilole
 
Jamani kina dada wacheni tumia hizi mambo yenu kwa babu ndio maana vijana tunakuwa akili zinahehuka kama kijana huyu maana ushamkuta demu anagegedwa na kishapata mtu na wewe unajua kisa waneachana mzee unataka kurudi...lol

Huku mlingotini kuchwa naona masista duu wakija loga waume zao, na wapenzi wao, jamani msiwalaumu sana wanaume cz hali si shwari, kina dada wanaloga sanaa...
 
Wewe inaonekana kuna kitu watafuta apo au unataka umpe roho yako???huoni wanawake wengne?huyo ulizaliwa nae?hakuna maisha bila yeye?acha us..nge
 
kua mwaname kijana....inaonyesha na wewe ni malaya pia...rudianeni ili mmoja wenu aje kumpa ukimwi mwenzake....Samahani ila kuna dalili za upu mbavu naziona kwa mbaali
 
ni kawaida sanah kumkumbuka na 7bu mazoea yalikuwepo lazma utammiss sanah till umsahau.....
 
Acha swagger za ki-looser mtoto wa kiume haendeshwi na hisia...hizo waachie akina dada..mwanaume tumia logic...hajakutafuta maana hana time cha msingi tafuta manzi mwingine...utamsahau tu huyo...kwani shing ngapi?? Banah...Over..!!

hahahah.... ongezea apo na wanawake wanaume maana nao hawaendeshwag ba hisia but logic n sense sio non senses....
 
Back
Top Bottom