Tajiri mkopeshaji
JF-Expert Member
- Dec 24, 2022
- 635
- 1,485
Jidanganye na umaskini wako..siku zote maskin ni chakula Cha tajiri toka Dunia inaanzq Hadi itakapoisha...Masikin na tabaka la chini kabisa watakosa chakula na watamla tajiri.
Iangalie hii ktk engo zote.
Pambana utoke kwenye ilo shimo!!😂😂