Siku zinakaribia

Siku zinakaribia

Darwin

JF-Expert Member
Joined
May 14, 2008
Posts
908
Reaction score
61
Ndo siku zinayoyoma na ile siku inakaribia.

Swali kwa serikali.

Je ni kina nani wamesharudisha pesa za EPA?

Je ni kina nani hawajarudisha?

Je ni kiasi gani kimerudishwa na kilichobaki ni kiasi gani?

Au ndio tumepozwa kama watoto wadogo wanaolia nakupewa pipi na wazazi ili tunyamaze?
 
Back
Top Bottom