Siku zake zimevurugika baada ya kuweka kipandikizi cha kuzuia mimba

inoo

Member
Jul 12, 2016
19
7
Hi,
Nina mamybaby wangu ambae kutokana na malengo yetu niliamua kumuweka kipandikizi ili kuepuka mimba zisizotarajiwa.

Sasa tatizo baada ya kumuweka tu yaani siku zake badala ya siku tatu sasa zinavuja kila siku na hazioneshi dalili ya kuacha.

Je, ni tatizo au ni mabadiliko?

NB: Sasa ni siku ya 9
Karibuni.
 
nendeni hospitali upesi. halafu tumieni njia ya calendar, au mnafanyana kila siku?
 
Ni tatizo la kawaida. Usipaniki kabisa. Nenda hospitali...atabadilishiwa aina ya uzazi wa mpango, ikiwa ni pamoja na kusaidiwa jinsi ya kurekebisha huo mzunguuko wake uliovurugika kwasasa
 
Back
Top Bottom