Siku za mwanamke kupitiliza

pozzy

Member
Jan 20, 2017
78
26
JF Doctors na ndugu zangu nyote mliopo humu naomba yeyote mwenye ufahamu juu ya damu kumtoka mwanamke kwenye umri wa miaka 45 na kuendelea bila kufika mwisho yaani namanisha mwanamke anafika kwenye siku zake lakini hatoki kwa muda mwafaka.

Naomba kujua kama ni tatizo la mwili au kuna mfumo wa hormones ambao uko meant kufanya hivyo pindi mwanamke anapofika umri huo.

Nimeleta hili swali humu kwasababu nimemuuliza mwalimu wangu kaanza kujinga'ta pua na bado aliyeniuliza kasubiria majibu.

NB: Naomba JF Doctor unipe maelezo kwa undani kidogo Ahsante
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom