Jioni hii baada ya mkutano mkubwa wa hadhara uliofanyika nmc arusha kuwakumbuka walioawa na polisi JAnuary 5 mwaka Jana. Baada ya hapo tulipita katika hotel ya kibo kupumzika baada ya Lena kulalamika ya kuwa anahisikia vibaya na temperature ikaanza kupanda. Tumempeleka mt. Meri hospital wakatuambie tumpeleke selian kwa urgent service maana mahabara ilikuwa imefingwa. Tupo selian hospital ametundikiwa RL drip na sindano mbili.Temp ipo 40, anakunywa drip ya pili saa hii. Tumuombee uzima mbunge wetuView attachment 44798IMG_1054.JPG
Kweli mkuu tena ande nje wakamcheki afya yake maana tuna kumbuka yaliyo mkuta magufuli akaenda kuponea ujerumani...Lema anahitaji kuihakikisha afya yake vizuri kwani kwa mujibu wa kauri hizo ni wazi angalizo kubwa la afya linahitajika kwa mbunge wetu huyo. Hawachelewi kumpandikizia sumu mwilini katika hatihati za kumtuliza kwani ndiye mbunge ambaye anaongoza kwa kupigwa pigwa vibaya na polisi na kupelekwa hospital in emergency akiwa hajitambui. Hili ni angalizo tu
Na zungumzia kiafya wana uwezo wa kukupulizia sumu ukufa taratibu hawashindwi mkuu...na siyo rahisi kugundua ushauri kwa Lema kwanza akacheck Afya na awe makini sana...akumbuke hili jimbo sisimu wana litaka kuliko jimbo lolote...hawawezi kumchakachua lema hata kidogo, coz najua arusha patachimbika
wewe achana na wamafia kama walimchakachua kolimba,kighoma malima nawengineo watashindwa kwamtu mdogo kama lema?hawawezi kumchakachua lema hata kidogo, coz najua arusha patachimbika
Lema anahitaji kuihakikisha afya yake vizuri kwani kwa mujibu wa kauri hizo ni wazi angalizo kubwa la afya linahitajika kwa mbunge wetu huyo. Hawachelewi kumpandikizia sumu mwilini katika hatihati za kumtuliza kwani ndiye mbunge ambaye anaongoza kwa kupigwa pigwa vibaya na polisi na kupelekwa hospital in emergency akiwa hajitambui. Hili ni angalizo tu