Baada ya jana wapenzi na wapendanao kusherekea siku yao ya Valentine day , basi na sisi ambao hatuna wapenzi maalumu hatujaachwa wapweke .
Leo tar 15 in siku yetu ya Single awareness day(SAD) na sisi tuna sherekea sasa sjui tunasherekea nini (umalaya) au (uzinifu) ata sielewi..
Anyway wale wenzangu na mimi ambao tupo single lakini huduma za kimwili tunapata kama kawaida tujumuike hapa kusherekea siku yetu .....
am better here
Mzee naona upo katikati yao.
Mzee.... tambaa na mdundo.Ha ha ha aha acha mzee nitambae na beat tu huez jua
Ha ha ha mzee we jiangushe tu popote pale humu ndan wote SADMzee.... tambaa na mdundo.
Ya kesho hakuna ayajuaye. Tukumbukane basi.
Kwema lakini?Ha ha ha ha mzee hapo sina uhakika
Duuh, kweli wewe ni mlevi. [emoji3]wana wa CHAPUTA wote kesho tukutane kama ratiba isemavyo hapa:-
wa mikoani tukutane MWANZA hotel,
wa dar es salaam tukutane ALFA&OMEGA hotels
wale wa kaskazini tukutane golden valleys hotels
Wale wa mikoa mingine mutajuika na wenzenu maana mnaishi kusiko julikana!![emoji13][emoji13][emoji13]
kila mwanachama aje na sabuni ili kuimarisha chama na kuonyesha uzarendo wa dhati..
NB:haya ni maelezo ya mlevi mmoja aliekuwa na siku kadhaa hajara[emoji37][emoji37][emoji37]
Sent using Jamii Forums mobile app
Yule Karucee wa Chris Brown ndio wewe?You are so draft young lady.
Kukosa mpenzi mi automatically kuwa malaya ama mzinifu?
Kwema mzee umepotea siku hz unafichwa wap hukoKwema lakini?
Mje niwape huduma za kimwili.Je ambo tuko single na huduma za kimwili hatupati siku yetu ni lini?
Hahaha... kumbe anatugonganisha tena?Alaaah kumbe huyo bint anawaficha we na mzee asprin?
Mim nnachojua huu ni mchepuko wa babu sasa kama na wewe umefichwa bas acha tuseme inshallah cha msing uhaiHahaha... kumbe anatugonganisha tena?