Siku yangu ya kuzaliwa leo

Siku yangu ya kuzaliwa leo

stevoh

JF-Expert Member
Joined
Dec 5, 2011
Posts
2,921
Reaction score
1,106
siku kama ya leo mama yangu mzazi aliniambia ilikua furaha sana kwani kijana wa kiume nilizaliwa pongezi kwa mama mzazi kwa kunilea mpaka hapa.
sina shaka napokea pongezi zenu pia.
 
vp umeshajinyea nije nikubadilishe pam pasi? hepi besi dei Stevoh.
 
Happy birth day stevoh...

Tuko na Black Woman hapa tunajiandaa kuelekea ukumbini kuanza shughuli ya upambaji,

chakula atashughulikia AshaDii, vinywaji utatafuta mtu wa kusimamia... Ila asiwe Asprin tafadhali.
 
Mimi nitakuwa kamati ya ulinzi na mapokezi......
 
MR.
Good 9it !
No no !
I mean
Happy new year !
sory sory !
Good mornin'
shit..... No no sory!
Uuuwiiii what's wron' on my tongue today ?
Congratulatio for win exam !
No ! No ! No !
Oooh my organ Tongue my organ of Speakin' , Tasting , Eatin' help me to be fluent !
Ahaaa! HAPPY BIRTHDAY - STEVOH .
Thanks my tongue .
 
Back
Top Bottom