Paula Paul
JF-Expert Member
- Oct 23, 2019
- 4,647
- 13,648
Glenn was my favorite character and I wanted him to survive the apocalypse.I stopped watching after 701 because I lost connection with the show ila baadae niliendelea.Nilikua nafuatilia series ya Walking Dead imeninogea sasa nimeanza episode ya kwanza ya season 7 hamu imeniisha asee.π
Kifo cha Glenn Rhee kimenihuzunisha mno yaani sitaki tena kuendelea na hii series. Glenn alikua mtu mzuri sana kwa kusaidia wenzie hakupaswa kufa kikatili namna hii.
View attachment 1885477
View attachment 1885478View attachment 1885480View attachment 1885481
Nyie ni wabinafsi!!!hata wajukuu wa wanangu hawawezi kuongea huo utoporo
Nilimpenda sana Glenn kwa alivyopenda kusaidia wenzie ila kifo chake kimeniuma kama ni ukweli but kama uliendelea kuangalia nami nitaendelea. Nampenda Eugene, very Smart namfananisha na Kawolski wa penguin of madagascar. Hawa wawili kila wanachoongea ni useful and analytical.Glenn was my favorite character and I wanted him to survive the apocalypse.I stopped watching after 701 because I lost connection with the show ila baadae niliendelea.
Kweli death doesn't come to the wicked and leave the Innocent behind.Sisi tunatamani characters that we love wasiuliwe/wasife but hiyo ndio inaipa maana show. Hata kwenye maisha ya kawaida haujui ni nani atakufa na ni lini atakufa, yeah?
Hali hii niilipata pia kwenye episode ya Rain of Castamere, nilibaki nimeduwaa kabisa. Halafu inasha no soundtrack kimya kimya kama upo msibani kweli. Robb na Talisa waliniuma aseeNiliangalia GoT na kuona wale niliotamani wasiuliwe wanauliwa hadi nikazoea.
Hawachelewi kujinyongaUnavyonishangaa hivi nami hua nawashangaa ninyi mnapoumia kisa mpira. Yaani hua naona ni ujinga wa hali ya juu kuumia kisa mpira
Mimi ni mwanadamu, usitegemee nitakufurahisha all the time. Kukosea na kuudhi wengine & kuwa na madhaifu ndio kunanifanya niwe Mwanadamu mkamilifu.Dada Vinc nimekushusha thamani aisee.
Movie hii nimeichukia baada ya Rick Grimes kuacha kuigiza, nimestack season ya kumi hapa najivuta kweli kuiangaliaMimi ni mwanadamu, usitegemee nitakufurahisha all the time. Kukosea na kuudhi wengine & kuwa na madhaifu ndio kunanifanya niwe Mwanadamu mkamilifu.
So try to embrace the worst side of me, maana kila jema lina ubaya ndani yake na baya lina jema ndani yake[emoji3577]
Mind Illusion Projection: Jinsi ya kuidanganya mind ione vitu visivyo halisi kua ni halisi
Salute mate; Wanasemaga kwamba many of our battles we fight donβt exist, we make them exist because we create our own Demons. Kwamba mambo mengi yasiyo kawaida tunayoyaona hua sio halisi ila ni sisi tunayafanya yawe halisi, mfano unaweza kua unatembea njiani usiku ukaanza kuona mti Fulani...www.jamiiforums.com SoC01 - Jinsi ya kutibu tatizo la upungufu wa nguvu kwa wanaume kwa kutumia nguvu za kiroho
Utangulizi Upungufu wa nguvu za kiume kwa wanaume/vijana ni tatizo ambalo limekua likizidi kukua hasa kwa watu walizaliwa miaka ya 80, 90 na 2000. Wahenga wanasema kwamba vita vingi tunavyovipigana ndani ya vichwa vyetu hua sio halisi, Kwamba mambo tunayoyafikiria na kuyahofu kwenye maisha...www.jamiiforums.com
Hahah, Mkuu unataka kusema haioni piriodi!? [emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu badili kichwa Cha Uzi wakija wenye lugha yao.
Hilo neno siku kuharibika watia mzozo.
Unemployment is real kwa kweli mweeeNilikua nafuatilia series ya Walking Dead imeninogea sasa nimeanza episode ya kwanza ya season 7 hamu imeniisha asee.π
Kifo cha Glenn Rhee kimenihuzunisha mno yaani sitaki tena kuendelea na hii series. Glenn alikua mtu mzuri sana kwa kusaidia wenzie hakupaswa kufa kikatili namna hii.
View attachment 1885477
View attachment 1885478View attachment 1885480View attachment 1885481
FARAJA KWENYE MAIGIZO!!!?Kuwa serious mwalimuπ mleta mada anahitaji faraja na wa kumpa ni ss.
Usijali atafufuka.
unazidownload site gani wewe introvert utakuwa na mamuvi kibao[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Nilikua nafuatilia series ya Walking Dead imeninogea sasa nimeanza episode ya kwanza ya season 7 hamu imeniisha asee.[emoji17]
Kifo cha Glenn Rhee kimenihuzunisha mno yaani sitaki tena kuendelea na hii series. Glenn alikua mtu mzuri sana kwa kusaidia wenzie hakupaswa kufa kikatili namna hii.
View attachment 1885477
View attachment 1885478View attachment 1885480View attachment 1885481
Endelea kuangalia ni nzuri bado Vinci.Nilimpenda sana Glenn kwa alivyopenda kusaidia wenzie ila kifo chake kimeniuma kama ni ukweli but kama uliendelea kuangalia nami nitaendelea. Nampenda Eugene, very Smart namfananisha na Kawolski wa penguin of madagascar. Hawa wawili kila wanachoongea ni useful and analytical.
Thanks for motivating me Mi corazon PP.
Kweli death doesn't come to the wicked and leave the Innocent behind.
Hali hii niilipata pia kwenye episode ya Rain of Castamere, nilibaki nimeduwaa kabisa. Halafu inasha no soundtrack kimya kimya kama upo msibani kweli. Robb na Talisa waliniuma asee
View attachment 1886071
Kuna maneno waliongea hapo hua nayapenda sana. Robb mapenzi yalimpeleka kubaya.
View attachment 1886073
Paula Paul utakuwa na roho ngumu Sana we mdadaEndelea kuangalia ni nzuri bado Vinci.
Kwa sababu gani?Paula Paul utakuwa na roho ngumu Sana we mdada