Nilikua nafuatilia series ya Walking Dead imeninogea sasa nimeanza episode ya kwanza ya season 7 hamu imeniisha asee.π
Kifo cha Glenn Rhee kimenihuzunisha mno yaani sitaki tena kuendelea na hii series. Glenn alikua mtu mzuri sana kwa kusaidia wenzie hakupaswa kufa kikatili namna hii.
Real life hajafa ila kwenye series ndo hivo tena. Kama wewe ni Mpenzi wa series unaweza tazama series ukajikuta umezama kabisa ukajiona nawe ni mmoja wa character au maisha ya kwenye series ndio Maisha halisi.
Hali hii ilinipata tena kwenye GOT
Nilikua nafuatilia series ya Walking Dead imeninogea sasa nimeanza episode ya kwanza ya season 7 hamu imeniisha asee.π
Kifo cha Glenn Rhee kimenihuzunisha mno yaani sitaki tena kuendelea na hii series. Glenn alikua mtu mzuri sana kwa kusaidia wenzie hakupaswa kufa kikatili namna hii. View attachment 1885477 View attachment 1885478View attachment 1885480View attachment 1885481