Siku ya V ilivyotia fora....

kwani Mr Rocky ukiwa katibu wa bazazis nawe si ndio walewale tu.....au unaona aibu leo tumewamwaga hapa?


Kwa sheria wa;izojiwekea wao wenyewe kabanga, katibu haruhusiwi kushiriki kwenye tukio lolote yeye anakuwa mwangalizi tuu wa #teambazazi wasidhurike na achukue notice ya nini kinatokea tayari kukiwakilisha kwenye kikao na kuangalia performance ya kil;a mmoja na kutoa maksi ili atakayechemsha apigwe fine sasa haya yote huwezi kuifanya ukiwa na wewe ni mshiriki mkuu
 
Last edited by a moderator:
kweli umenichoka kaka yangu mm kuongelea kwenyewe hata sikujui
na wala shemejio hajawahi kunifundisha kuogelea
na huyo Asprin hajawahi kunikagua kabisa na anajui kwanini akufanya hivyo
sijui nifanyeje jamani marafiki zangu

Kwani yule aliekua anatafutwa kipindi kile cha "kula bata" ameonekana?
 
Last edited by a moderator:
basi una moyo jamaa....
 
Hiyo kama sikosei ni kwenye swimming pool ya Darlive humo watoto wa uswahili wanajazana kama kumbikumbi
 
anaonekane wapi besti
si amenitenda na la kusema mie
sitaki kukumbuka machungu hayo
sitaki kabisa acha niamue moja
kubaki na mzinga au mbonyeo
Kwani yule aliekua anatafutwa kipindi kile cha "kula bata" ameonekana?
 
hee unawajua wewe au unawasema au umeshawahi kwenda maana ni jirani na :shock:
Hiyo kama sikosei ni kwenye swimming pool ya Darlive humo watoto wa uswahili wanajazana kama kumbikumbi
 
mhm! si kwasababu uko m...... b...... a..... g.... a..... l..... a.... angalia wasikupeleke mweleka
ukajuta bure shauriro

vipi kichwa kinaendeleaje bestito?
Nawajua watoto wa maeneo yale
 
haaa! ubize wapi ndugu yangu, nyie mnatuletea matatizo
sintokaa kuwaamini wanaume tena

Hapana hapo unakosea, usitoe hukumu hujui nini kimemtokea dada. Sisi ndio viumbe bora zaidi kwenu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…