Siku ya usafi leo ni vituko

Siku ya usafi leo ni vituko

wakimataifa.

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2015
Posts
1,625
Reaction score
558
maeneo ya majengo dodoma mjini watu wamefanya usafi na wameambiwa gali litapita kuchukua taka mpaka jioni ya leo hakuna gari wala taloli
 
Samahani Mkuu Hilo " Taloli " Ni Aina Gani Ya Gari au Kifaa? Halafu Kinaonekana Kinauzwa Bei Ghali Mno au?
 
Tatizo Ni kuwa taka zilizozalishwa Ni nyingi kuliko vifaa vilivyopo hivyo Subira inatakiwa.
 
Acha Uongo,inamaana Toka Zimerundikwa Upo Tu Hapo Kusubiria Hatima Yake?Mbona Hazipo Sasa?
 
hebu weka picha ya jioni hii ikiambatana na muda uloipiga
 
maeneo ya majengo dodoma mjini watu wamefanya usafi na wameambiwa gali litapita kuchukua taka mpaka jioni ya leo hakuna gari wala taloli

ungebeba hata furush moja na kisha uje upost sio kupost tu huku wewe mwenyew hujqwajibika na lolote unataka serikali ilaumiwe
 
maeneo ya majengo dodoma mjini watu wamefanya usafi na wameambiwa gali litapita kuchukua taka mpaka jioni ya leo hakuna gari wala taloli

Wamuombe Jk atoe zile gari za washawasha 700 sijui zina kazi gani muda huu.
 
Back
Top Bottom