mbongopopo
JF-Expert Member
- Jan 24, 2008
- 1,611
- 759
Wana JF
Leo ni siku ya ukimwi duniani
Tutumie siku hii kuelimishana juu ya ukimwi na madhara yake na kusaidia ambao wanao waishi vipi
Mungu awalaze peponi waliofariki na ukimwi na Mungu awaponye walio na ukimwi na pia wanasayansi awape njia ya kupata tiba ya haraka haraka.
AIDS (Acquired immune deficiency syndrome) is a disease of the human immune system caused by the human immunodeficiency virus (HIV). This condition progressively reduces the effectiveness of the immune system and leaves individuals susceptible to opportunistic infections and tumors.
thats' right hash,,,,
hebu tujikinge nilham
tutoke tukapime na tusubiri majibu tusile kona........maana watu wagumu sana kupokea majibu.....
aa tutamwambia doctor atutumie kwenye mail zetu usisubiri hapo hapo presha itashuka
au una mwambia daktari akikuta kubaya asikupigie simu...na akikuta kuzuri akupigie simu......tehehehee unaweza ukashinda unaangalia simu!
nauchukia ukimwi,ktk vitu na vichukia humu duniani ni ukimwi,poleni sana watu mliofiwa na ndugu,na muendelee kuwaombea wale wote wenye vvu na hawana kitu huku madaktari na mashirika ya kupambana na ukimwi wakiendelea kunufaika na pesa za misaada yao,
tutoke tukapime na tusubiri majibu tusile kona........maana watu wagumu sana kupokea majibu.....
Tupime na tuzitambue afya zetu ili tuweze kuishi kwa matumaini
Rafiki yangu mpenzi alikufa kwa ugonjwa huu pasipo kujitambua eeeh mungu ziweke roho za marehemu wote waliotangulia pema peponi
Na sisi tuliobakia tukumbushane tuelimishane na tuache kuwanyanyapaa wote walioathirika na Ukimwi
Tuwapende na kuwatunza vema