Siku ya ukimwi

mbongopopo

JF-Expert Member
Jan 24, 2008
1,611
758
Wana JF

Leo ni siku ya ukimwi duniani

Tutumie siku hii kuelimishana juu ya ukimwi na madhara yake na kusaidia ambao wanao waishi vipi

Mungu awalaze peponi waliofariki na ukimwi na Mungu awaponye walio na ukimwi na pia wanasayansi awape njia ya kupata tiba ya haraka haraka.
 
Nimeona watu niwajuao haswa nilikua nao marafiki wamefariki kwa ukimwi, ninaona pia marafiki wanaugua hawa ni watu tulicheza wote utotoni inaniuma sana

Na cha kusikitisha ni pale wengine wanadhani kuwa hujui kuwa wanaumwa na unawaaona wakiwa hawana raha na unashindwa uanzaje kuwaambia ndio najua unasumbuliwa na hili au lile, wengi ninajua sababu ya connection na wauguzi.

Wengine wanakuwa wanasema wapo kwenye diet kali na sometimes kusema ni kisukari ila unajua labda kweli ila ni moja wapo ya magonjwa yamsumbuao.

mie napenda kuwashauri tafadhali kama wengine unawaficha jaribu kuchagua mtu uweze kuongea nae juu ya hali yako uwe huru kusema leo unajisikia hivi au vile itasaidia sana wewe kimawazo na kukufanya ukae kwa imani ukijua kuna mtu anayekusikiliza na kukuelewa na kuwa anakusapoti asilimia kubwa

wenigne utegemea ndugu na ndugu uwa hawawi wa kujituma ndio maana nashauri basi marafiki pia wapo na mara nyingi huwa ni waaminifu

Wengine wanaopenda kulala na watu bila kuwaambia wanao na kuwaambukiza hii kitu inasikitisha sana, naombeni mshauri watu waache

Humu watasoma tu madhara yake etc

Tumieni kinga magonjwa mengine yapo pia

Angalieni wake waume na kujiuliza uko nje napoenda kuiba kuna faida gani nikipata ukimwi na nikirudi nyumbani nikamuambukiza mwenzangu je kama unawatoto nani atawalea kwa mapenzi kama ya baba na mama waliokuzaa?

Mkae salama
 
Wana JF

Leo ni siku ya ukimwi duniani

Tutumie siku hii kuelimishana juu ya ukimwi na madhara yake na kusaidia ambao wanao waishi vipi

Mungu awalaze peponi waliofariki na ukimwi na Mungu awaponye walio na ukimwi na pia wanasayansi awape njia ya kupata tiba ya haraka haraka.

AIDS (Acquired immune deficiency syndrome) is a disease of the human immune system caused by the human immunodeficiency virus (HIV). This condition progressively reduces the effectiveness of the immune system and leaves individuals susceptible to opportunistic infections and tumors.
 
thats' right hash,,,,

tutoke tukapime na tusubiri majibu tusile kona........maana watu wagumu sana kupokea majibu.....
 
aa tutamwambia doctor atutumie kwenye mail zetu usisubiri hapo hapo presha itashuka

au una mwambia daktari akikuta kubaya asikupigie simu...na akikuta kuzuri akupigie simu......tehehehee unaweza ukashinda unaangalia simu!
 
nauchukia ukimwi,ktk vitu na vichukia humu duniani ni ukimwi,poleni sana watu mliofiwa na ndugu,na muendelee kuwaombea wale wote wenye vvu na hawana kitu huku madaktari na mashirika ya kupambana na ukimwi wakiendelea kunufaika na pesa za misaada yao,
 
wee usiuchukie shauri yako!!!
nauchukia ukimwi,ktk vitu na vichukia humu duniani ni ukimwi,poleni sana watu mliofiwa na ndugu,na muendelee kuwaombea wale wote wenye vvu na hawana kitu huku madaktari na mashirika ya kupambana na ukimwi wakiendelea kunufaika na pesa za misaada yao,
 
Tuzidi kuwaombea na tuzidi kujiombea pia sisi wenyewe ili tusije tukaanguka kwenye hili janga
 
Tupime na tuzitambue afya zetu ili tuweze kuishi kwa matumaini
Rafiki yangu mpenzi alikufa kwa ugonjwa huu pasipo kujitambua eeeh mungu ziweke roho za marehemu wote waliotangulia pema peponi
Na sisi tuliobakia tukumbushane tuelimishane na tuache kuwanyanyapaa wote walioathirika na Ukimwi
Tuwapende na kuwatunza vema
 
tutoke tukapime na tusubiri majibu tusile kona........maana watu wagumu sana kupokea majibu.....

hawa vituo vya kupimia wangekuwa wana website zao wanaweka matokeo kama majibu ya form 4 hivi...maana tunakuwa bize bana kusubiri majibu ...wao wachukue damu majibu waweke kwenye website au magazetini au kama vipi wanakutumia message..mfano unapima uko safi wanakutumia meseji wanasema HAUNA NGOMA...ukikutwa una virus wanakutumia AISEEE UNA NGOMA LIVE...
 
:A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2::tea:
Tupime na tuzitambue afya zetu ili tuweze kuishi kwa matumaini
Rafiki yangu mpenzi alikufa kwa ugonjwa huu pasipo kujitambua eeeh mungu ziweke roho za marehemu wote waliotangulia pema peponi
Na sisi tuliobakia tukumbushane tuelimishane na tuache kuwanyanyapaa wote walioathirika na Ukimwi
Tuwapende na kuwatunza vema
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom