Hakika ndio nilivyowaza kufanyaMfungie vioo huyo mwanamke hata aandike jumbe ngapi usijibu, akikupigia usipokee, akija home kabla ya salam mwambie akupe muda wa kutafakari mambo yako ukimuhitaji utamtafuta na mwambie hutaki maswali na aondoke.
Siku mkijarudiana atatia adabu vizuri kbs
Mkuu huyo ndio kiboko yakoNilikuja na uzi humu kuhusu mpenzi wangu ambae nilishapanga kabisa siku sio nyingi kama Mungu akipenda mimi Zero IQ niuage ukapela Rasmi niingie kwenye nyumba ya Ndoa,
Uzi wenyewe ni huu[emoji116]
https://www.jamiiforums.com/index.php?posts/30885089
Nilikuwa nalalamika tu kwamba mpenzi wangu huyu aliniomba kiasi flani cha pesa kwa kuwa nilikuwa naumwa kama siku tatu sikutoka kwenda mishe nilimuomba anivumilie ile siku nilikuwa na nafuu kesho yake nitoke niende mishe Mola akijalia nitamtumia,
Ofcourse alinijibu vibaya kitu kama vile Sitaki kumtumia na wakati siku zote akiwa na Shida natatua kuanzia kula yake mpaka vaa yake lakini alishindwa kunielewa tu ile kosa ya siku moja,
Tuliacha kuchati mala pale tu niliposema sina hela na yeye kuona as if ninazo ila namnyima,usiku nilimtakia usiku mwema lakini hakunijibu,
Sasa Leo ni siku ya Tatu sijaona Call yake wala Sms ya salamu,
Na mimi nilivyoona hakuna jibu kwa ile SMS yangu ya Usiku mwema, nikaamua kukaa kimya till leo lakini inanishangaza sana,
Nimemtambulisha kila sehemu kuanzia kwa mama, baba mpaka ndugu zangu wa pembeni lakini she is no more now,
Hii hali inanifanya nianze kumchukia.
CC Zero IQ
Hakika mkuu nimeshalitoa wazo la kuoa sasa ngoja niendelee kuwatusuaHapo hakuna dem man anakutumia tuu km daraja shtuka usisubir ushauri wa wana jf hum hahahaha itakula kwako et we endelea na kuwatusua tu mpk umpate wakueleweka achana na mambo ya kukurupuka tuu
Sent using IPhone X
Hakika mkuu nimeshalitoa wazo la kuoa sasa ngoja niendelee kuwatusua
CC Zero IQ
Naunga mkono hoja mwenyekiti wa mabachela naomba nisamehewe kwa kutaka kuwasalitiYaan hao ni kuwatomba tuu achana na habari kuoa sahiv kwanza hakuna mwanamke wa kuolewa wa namna hiyi bhana watafilisi genge lako la chips bureee [emoji41]
Sent using IPhone X
Naunga mkono hoja mwenyekiti wa mabachela naomba nisamehewe kwa kutaka kuwasaliti
CC Zero IQ
Kwa nini mkuu
CC Zero IQ
She is no more!Nilikuja na uzi humu kuhusu mpenzi wangu ambae nilishapanga kabisa siku sio nyingi kama Mungu akipenda mimi Zero IQ niuage ukapela Rasmi niingie kwenye nyumba ya Ndoa,
Uzi wenyewe ni huu[emoji116]
https://www.jamiiforums.com/index.php?posts/30885089
Nilikuwa nalalamika tu kwamba mpenzi wangu huyu aliniomba kiasi flani cha pesa kwa kuwa nilikuwa naumwa kama siku tatu sikutoka kwenda mishe nilimuomba anivumilie ile siku nilikuwa na nafuu kesho yake nitoke niende mishe Mola akijalia nitamtumia,
Ofcourse alinijibu vibaya kitu kama vile Sitaki kumtumia na wakati siku zote akiwa na Shida natatua kuanzia kula yake mpaka vaa yake lakini alishindwa kunielewa tu ile kosa ya siku moja,
Tuliacha kuchati mala pale tu niliposema sina hela na yeye kuona as if ninazo ila namnyima,usiku nilimtakia usiku mwema lakini hakunijibu,
Sasa Leo ni siku ya Tatu sijaona Call yake wala Sms ya salamu,
Na mimi nilivyoona hakuna jibu kwa ile SMS yangu ya Usiku mwema, nikaamua kukaa kimya till leo lakini inanishangaza sana,
Nimemtambulisha kila sehemu kuanzia kwa mama, baba mpaka ndugu zangu wa pembeni lakini she is no more now,
Hii hali inanifanya nianze kumchukia.
CC Zero IQ
Izo issue tupeane tu wadodoma tuko wengi,Mzee baba si upo Dodoma nikupe issue??
Siyakudumisa Nkosi Yezulu